Mpenzi wangu simuelewi sijui anamaanisha nini

Mpenzi wangu simuelewi sijui anamaanisha nini

muyatz

Member
Joined
Jul 12, 2017
Posts
50
Reaction score
19
Mpenzi wa kanambia ananichukia na hataki hata kunisikia, kosa silijui.

Nifanye nini?
 
Usimjibu chochote
ni vyema na busara ukaa kimya na kuendelea kufanya mambo yako mengine,

Lakini jaribu kuangalia ni sababu / chanzo kilicho pelekea akakuambia hayo maneno yake.
Kama hakuna basi huna budi kukaa kimya.
 
umfkishi kilelen xx kuna aliemfkisha wana2kanaga ivyo

Sent from my Iphone7 Using Jamiiforum mobile app
 
mpenzi wa kanambia hananichukia na ataki hata kunisikia kosa silijui nifanye nini
amekwambia hakutaki inabidi uelewe na ukubali....maana kesho na leshokutwa usije lalamika unasalitiwa bure
 
unaposea ni hapo katika hilo jina! huyo ni aliekuwa mpenzi wako
 
Kwa namna ulivyoandika bila shaka we ni mtoto na huyo kidosho wako ni mtoto zaidi ya wewe...

mpenzi wa kanambia hananichukia na ataki hata kunisikia kosa silijui nifanye nini
 
Back
Top Bottom