Sio mwanafunzi ni mdada ana kazi yake nzuri tuWanafunzi wa chuo wengi wapo hivyo.
Mchezo anatoa vizuri tuIla mchezo si anakupa?
Ama hata mchezoni ni mvivu?
Kwahiyo wa mtaani ndo sio wavivuWanafunzi wa chuo wengi wapo hivyo.
Basi ukimuoa huyo atajua majukumu yake ya kukufuliamchezo anatoa vzr tu
Nafikiria sana hii inshuusioe mwanamke mvivu kazi zote kutakuwa zako, halafu wanakusanya na vizuri hao ngoja umweke ndani ndio utajua
Acha tu najiuliza sana huyu mwanamke huwa anashida gani sipati jibuHivi wanawake wa hovyo kama hao huwa mnawatoa wapi?
Nitaufanyia kazi ushauri wakoPiga chini maramoja huyo. Tafuta chapakazi utanishukuru badae
Kabisaa nataka mke sio sex, kuna maisha baada ya sexJoanah 😂
Jamaa anataka mke sio sex mate.
AhaahaahaaHuyo msichana anaitwa Abby Chams?