Mpenzi wangu mpya anauza majeneza

Bila kukosea wewe ni mwajiriwa wa sekta duni kabisa hapa nchini, au huenda hata kazi huna. Kiufupi huyo "dem" siyo size yako, huyo ni mchakarikaji mwenye kipato chake. Endelea kuyaogopa majeneza, siku ukifiwa utayatafuta mwenyewe.
 
Badala ya kuogopa zinaa uliyotaka kufanya unaogopa jeneza ambalo taka usitake siku moja utaingia. Anza kulizoea brother!
 
HAHAHAHAHAHAHAH
AKYANANI
UUUWI
WE KULA TU BABA SI UMEMPENDA!
UKIPENDA BOGA PENDA NA MAJENEZA YAKE
CC: 50thebe
 
Write your reply... firimasoni huyo bro, mda wote anaomba wagonjwa wafe ili apge pesa
 
kuna dada mmoja anauza majeneza pale muhimbili(kwa heshima sitaji jina la duka lake) ..aisee ni mzuri ile mbaya,ni watu wa fani ya mapambo muda mrefuu hapa dar,nadhani ni kampuni iliasisiwa na baba yake ambaye alifariki miaka sio mingi..ila yule nadhani kaolewa
 
We jamaaa bhn badala ya kumuunga mkono kwa kumletea wateja ili azidi tanua biashara yake we wakimbia [emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…