Huhuhuhu kwani uzi unaongelea magari mkuu?Nimekaa nikawaza, akinunua range rover itakuaje
Sasa si ungepost hicho alichokufurahisha maana ulivyopost matokeo utafikiri yametoka leo wakati ni old news tayari?I know that..Nayajua muda mrefu.Leo kuna kitu kanifurahisha ndo maana nimeamua kumpost...Vipi mzee baba umechomoa? ??Nasikia disco mia tatu