Mpenzi wangu katusua LST first sitting

Mpenzi wangu katusua LST first sitting

Hongera sana lakini haya matokeo yametoka like two or three weeks ago ina maana hukuwa na hizo habari namaanisha hakukwambia tangu mwanzo, meaning we ni last option kwake.
 
Hongera sana lakini haya matokeo yametoka like two or three weeks ago ina maana hukuwa na hizo habari namaanisha hakukwambia tangu mwanzo, meaning we ni last option kwake.
I know that..Nayajua muda mrefu.Leo kuna kitu kanifurahisha ndo maana nimeamua kumpost...Vipi mzee baba umechomoa? ??Nasikia disco mia tatu
 
Natumia fursa hii kutoa hongera zangu za dhati kwa demu wangu mzazi kwa kutusua LST first sitting ..

Hongera sana baby .. Cohort yenu wame disco watu kibao na wengine wengi wana vimeo ila wewe umetusua ..
Am so proud of u baby ..I c a lot of me in u sweetheart ..
Ur the true daughter of ur father ..

Mwenyezi Mungu azidi kukubariki katika kila unachokifanya..

Will take u to Znz this weekend.. Hata ukitaka nikupeleke Mauritius its okay too baby cause ur wish is my command

Glory be to God

Man mbona hata mimi kaniambia nimpeleke zenji... same girl nini man ? Hapa dalili ni mbaya kabisaa hahahha [emoji23]
 
I know that..Nayajua muda mrefu.Leo kuna kitu kanifurahisha ndo maana nimeamua kumpost...Vipi mzee baba umechomoa? ??Nasikia disco mia tatu
Mzee baba me nimepunguza sup coz me nilikua mbele yao, kwa sasa nna sup moja nadhani wakipenda mwakani ntakuwa admitted.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom