Victor wa happy
JF-Expert Member
- Apr 24, 2013
- 11,660
- 11,664
Ndugu wana jf mimi ni kijana wa kiume mwenye umri wa miaka 27 na nina mpenz wangu ambae tunapendana sana kwa dhati kutoka moyon kabisa ila shida ni kuwa yeye ni mkubwa kwangu kiumri lakin yeye halijui hilo maana nilimdanganya umri wangu kuwa tuko sawa na had sasa anaamin na mpango tulionao baadae ni kuish kama mume na mke na kila mmoja analijua hilo, sasa naomben mawazo yenu kama hiki kitu kinawezekana kweli maana kwa utaratibu unaojulikana ni kuwa mume lazima amzid umri mke!
Duu kwani yeye amekuzidi miaka mingapi......broo mimi mbona nina miaka 26......lakini nimeshawahi kuwa na mpenzi ana miaka 78....je wewe amekupita miaka mingapi
umri sio tatizo kama kwel mnapendana,kuwa muwaz bhana isije leta tatizo baadae,mbona me nina 21 lakn natembea na mwanaume 14,namuita ivo coz anajua meng on bed.
duh....asee hiz laana watu wanajitafutia sana.Kuna baadhi ya mila ukizidiwa umri na mdada mpenzi wako basi ni kama Laana!!
nina umri kama wa kwako mke wangu wangu kanipita miaka mitatu,,,huu ni mwaka wa tatu kwenye uhusiano sijaona tabu yoyote na suala la umri sikumficha.Ndugu wana jf mimi ni kijana wa kiume mwenye umri wa miaka 27 na nina mpenz wangu ambae tunapendana sana kwa dhati kutoka moyon kabisa ila shida ni kuwa yeye ni mkubwa kwangu kiumri lakin yeye halijui hilo maana nilimdanganya umri wangu kuwa tuko sawa na had sasa anaamin na mpango tulionao baadae ni kuish kama mume na mke na kila mmoja analijua hilo, sasa naomben mawazo yenu kama hiki kitu kinawezekana kweli maana kwa utaratibu unaojulikana ni kuwa mume lazima amzid umri mke!
Kama una miaka 21 unategemea huo ubongo wako unawaza nini zaidi ya ngono? hivi wewe unajuwa hata future ni nini? foolish age inakusumbuwa ukikuwa utayaelewa haya mambo.
daaa aisee yani nakuelewa kwa shida... i wish ningekuelewa mkuu.mwanamke akikuzidi umri juwa amekuzidi kila kitu huu ndio ukweli. utaki unaacha.
Sasa mnapendana au ushaona makunyanzi unataka utoke nduki?Hapo ushauri gani unautaka au tukushauri mganga gani anaongeza umri?Ebu jielezee vizuri sababu ushasema mnapendana na wewe ulidanganya basi endelea kudanganya.Ndugu wana jf mimi ni kijana wa kiume mwenye umri wa miaka 27 na nina mpenz wangu ambae tunapendana sana kwa dhati kutoka moyon kabisa ila shida ni kuwa yeye ni mkubwa kwangu kiumri lakin yeye halijui hilo maana nilimdanganya umri wangu kuwa tuko sawa na had sasa anaamin na mpango tulionao baadae ni kuish kama mume na mke na kila mmoja analijua hilo, sasa naomben mawazo yenu kama hiki kitu kinawezekana kweli maana kwa utaratibu unaojulikana ni kuwa mume lazima amzid umri mke!
umri sio tatizo kama kwel mnapendana,kuwa muwaz bhana isije leta tatizo baadae,mbona me nina 21 lakn natembea na mwanaume 14,namuita ivo coz anajua meng on bed.
Ndugu wana jf mimi ni kijana wa kiume mwenye umri wa miaka 27 na nina mpenz wangu ambae tunapendana sana kwa dhati kutoka moyon kabisa ila shida ni kuwa yeye ni mkubwa kwangu kiumri lakin yeye halijui hilo maana nilimdanganya umri wangu kuwa tuko sawa na had sasa anaamin na mpango tulionao baadae ni kuish kama mume na mke na kila mmoja analijua hilo, sasa naomben mawazo yenu kama hiki kitu kinawezekana kweli maana kwa utaratibu unaojulikana ni kuwa mume lazima amzid umri mke![/QUOTE
Ng'ombe hazeeki maini ndugu
Ndugu wana jf mimi ni kijana wa kiume mwenye umri wa miaka 27 na nina mpenz wangu ambae tunapendana sana kwa dhati kutoka moyon kabisa ila shida ni kuwa yeye ni mkubwa kwangu kiumri lakin yeye halijui hilo maana nilimdanganya umri wangu kuwa tuko sawa na had sasa anaamin na mpango tulionao baadae ni kuish kama mume na mke na kila mmoja analijua hilo, sasa naomben mawazo yenu kama hiki kitu kinawezekana kweli maana kwa utaratibu unaojulikana ni kuwa mume lazima amzid umri mke!
Umelaaniwa wewe...Kwanza huo ni unyanyasaji kingono.!
Wakuu nawashukuru wote kwa ushauri wenu mlioutoa kwa kweli nimefarijika sana, kuna wadau wameuliza miaka aliyonizid jibu ni minne yaan mi nina miaka 27 now yeye 31.