Ukwel mtupu
Member
- Jan 30, 2014
- 40
- 8
Ndugu wana jf mimi ni kijana wa kiume mwenye umri wa miaka 27 na nina mpenz wangu ambae tunapendana sana kwa dhati kutoka moyon kabisa ila shida ni kuwa yeye ni mkubwa kwangu kiumri lakin yeye halijui hilo maana nilimdanganya umri wangu kuwa tuko sawa na had sasa anaamin na mpango tulionao baadae ni kuish kama mume na mke na kila mmoja analijua hilo, sasa naomben mawazo yenu kama hiki kitu kinawezekana kweli maana kwa utaratibu unaojulikana ni kuwa mume lazima amzid umri mke!

Huwezi kutenguwa utaratibu wa umri ila is only applicable kwa wanawake wenye dongo zuri ambapo hata akikuzidi umri mwanaume ndio unaweza kuonekana mkubwa.Una matatizo haya
1. Uongo, labda hata yeye hapendi mwanamme mdogo kuliko yeye
2. Mapenzi yako kwake<suala la umri
3. Umekariri utaratibu wa umri ndoani
Nachukua fursa hii kutengua utaratibu wa umri katika ndoa(Mariah Carey na Cannon)
Acheni kudanganya wenzenu ni kwa nini uowe baadaye mwanamke ana miaka 45 tu unaogopa kutoka naye na kumtambulisha huyu ndio wife?Kama kweli unampenda na mnaelewana,umri siyo kikwazo kabisaa.labda kama una yako mengine pembeni huko wataka kumbwaga mwenzio kwa kusingizia umri.age is just a number if the love is true.
Naunga mkono HOJA kwa herufi kubwa..Huo utaratibu wa umri umeandikwa wapi??
Mie nakupa ya kwangu mafundisho ya dini yaliandikwa Mtume Muhammad (25) yrs alimuoa bi Khadija (40).
Haya na wewe kwa imani yako niwekee ushahidi kuwa imekatazwa kumuoa mwanamke aliyekuzidi umri.
Duu kwani yeye amekuzidi miaka mingapi......broo mimi mbona nina miaka 26......lakini nimeshawahi kuwa na mpenzi ana miaka 78....je wewe amekupita miaka mingapi
Kuna baadhi ya mila ukizidiwa umri na mdada mpenzi wako basi ni kama Laana!!
Mkuu huyu mdada hana card yako ya Hospital na usishindwe na kupika ukasingizia moshi,wajibika kwenye penzi lako kama kweli unampenda na hata akija kujua hatoona kitu kikubwa kawasababu umempenda ndio mana ukasema uwongo.....Ndugu wana jf mimi ni kijana wa kiume mwenye umri wa miaka 27 na nina mpenz wangu ambae tunapendana sana kwa dhati kutoka moyon kabisa ila shida ni kuwa yeye ni mkubwa kwangu kiumri lakin yeye halijui hilo maana nilimdanganya umri wangu kuwa tuko sawa na had sasa anaamin na mpango tulionao baadae ni kuish kama mume na mke na kila mmoja analijua hilo, sasa naomben mawazo yenu kama hiki kitu kinawezekana kweli maana kwa utaratibu unaojulikana ni kuwa mume lazima amzid umri mke!
Usimu-undeestimate mtume mwamedi kwenye Mahusiano, ndio maana baada ya kudunduwa kosa la kuoa Marioo akachukuwa kibinti cha miaka 6 na kuanza kukipiga pipe kilivyofikisha miaka 9 tuHuo utaratibu wa umri umeandikwa wapi??