mchumihalisi
Member
- Oct 8, 2015
- 28
- 98
Hizi dedication zingine ni ngumu sana kuzielewa kwa haraka, Nimerudi usiku home nimemkuta shemeji enu anajiandaa kulala basi huku na huku akaamua kuweka wimbo wa Kibamia wa Rostam, kilichontisha zaidi ni yeye kuvutiwa na Chorus na kuiimba kabisa 'Sitaki Kibamia, Mwanaume mashinee' kiukweli imeninyima usingizi na kutafakari siku nzima. Hivi hii inamaanisha nini wakubwa?
