Mpenzi wangu kanisingizia nimemuibia

Hongera sana kwa kuwa wengi wetu hatujui neno nisamehe na kujishuka fuatilia then expro what is beyond the reality?.
 
Kuna watu wa aina tatu KAMWE usiwakopeshe pesa

1)MPENZI
2)MKWE WAKO
3)MWENYE NYUMBA

mwisho wake huwa ni mbaya aseee
 
Huyo hakufai mtu unayempenda huwezi kumzulia maneno ya uongo
 
uamuz uliouchukua ni gud kabsa sema kama umetuma mesej hajakujbu mpotezee kam anakupenda atakufuata yeye mwenyewe kukuomb msamaha
 
Pole sana kwa hatua hii dhahiri hujahusika na unamoyo kumkopesha mpenzi wako badala ya yy kukupa huyo hakupendi achana nae anatafuta sbb tu
 
Inauma mwanamke kuumia sbb ya mapenzi
 
Ni kweli hakuwa na nia ya kumlipa ila kafanya mbinu ya kijinga sana kuirudisha hela kwa kumuita mwenzako mwizi
Kweli kabisa asinge mrudishia kwa sababu deni bado lipo pale pale.
 
yaan kuna watu wakisema ni wanaume unaanza kuutafuta uko wapi huo uanaume.
kwanza anakupigia simu umeniiibia na ww hujaiba unaenda unamlipa?
mie angejifunza kusoma nakuambia
na angejua nane ni sifuri zilizoungana ama ni tatu zilizogeukiana
Duh!!
Ticha shikamoo kwanza.
Wewe inaonekana ungekuwa Ally ungekuwa balaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…