Mpenzi wangu kanisingizia nimemuibia

I feel pity for you, elewa she is not your mum acha kumpigia simu unajichoresha sana na hata kama akirudiana na wewe atakuona mjinga sana.Kwanza unakubalije kuitwa mwizi halafu the next day unampigia simu???
 
We utakuwa uliiba unazuga tu. Utarudishaje pesa ambayo hujaiba?!
 
Umefanya vzr kumpa hio hela nayodai umemuibia, ila kbsaaaa huyo sio mke
 
usicheke na hao watu siyo ndugu zako, ipo siku utaitiwa mwizi uchomwe moto
 
Hiyo pesa ilimuuma kukulipa ndo mana akafanya hivo kuirudisha,pole sana.
 
Ww ni mpumbavu toka lini mwizi akawa na rafiki yaani uibe harafu salam we vp
 
Kwanza hongera kwa uungwana. Muache, usimuandikie ujumbe wala kumpigia simu. Akirudi mwambie wewe ulishamuacha zamani tangia anakusingizia umeiba pesa
 
Sawa mkuu mara nyingi wapenzi haearudishiani hela walizokopana ila sio kwa alichofanya kutaka kuirudisha hela hiyo kwa kumuita mwenzake mwizi na kafika katoka nje na rafiki zake wakaanza kujadili huo ni utapeli na mtu wa hivyo hafai kabisa ktk mahusiano...... Laana zinaanzia hapohapo, kumuita mtu mwizi kisha alfu 80 hela ambayo hata wiki moja haitafika
 
Huyo hakuwa na nia ya kukulipa hiyo hela. Achana naye fanya mambo mengine.
Ni kweli hakuwa na nia ya kumlipa ila kafanya mbinu ya kijinga sana kuirudisha hela kwa kumuita mwenzako mwizi
 
Hapo inaonyesha hakupenda kukupa hiyo hela, na marafiki wamechangia kumfundisha ujinga
 
I feel pity for you, elewa she is not your mum acha kumpigia simu unajichoresha sana na hata kama akirudiana na wewe atakuona mjinga sana.Kwanza unakubalije kuitwa mwizi halafu the next day unampigia simu???
Dah kweli mkuu ya angekaa kimya tu, kadhalilishwa na bado anamsalimu ya nini
 

Ningemtumia text ya kumwambia tusizoeane milele, na ndo mwisho wake. Ajaibiwa yeye ndo kakuibia, hafai hata kuwa House Girl, sio wala mpenzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…