Kwel una mapenzi ya dhati kwake,any way kama hajibu text mpigie kabisaJana mpenzi wangu aliniita kuchukua hela nliyomkopesha. Ilikuwa tsh 100,000. Nlikaa kidogo, baada ya kunipa hio hela nikaondoka. Baadae jioni, masaa ma4 hiv akanipikia kuwa ameibiwa hela na anahisi ni mimi. Bahati nzuri ile hela alonipa bado nlikua nayo. Nikaenda nikamkuta na rafiki zake. Waliponiona wakatoka nje kidogo wakaongea af yeye akarudi ndani kwake, marafiki zake wakaingia vyumbani kwao. Nikamuuliza nn kinaendelea,. Akanambia ameibiwa tsh 80,000. Na anahisi ni mimi. Nikwamwambia sijachukua hela ake, na sijawahi kuiba hela wala kitu cha mtu. Akasisitiza mm ndo nimeichukua. Nikaona isiwe shida nikachukua tsh 80,000 nikampa. akafanya kukataa. Nikamwekea mezani nkaondoka. Nikabakiwa na tsh 20,000.
Leo asubuhi nimemjulia hali kwa sms hajajibu.
Kama ni ww ungefanyeje.
yaan kuna watu wakisema ni wanaume unaanza kuutafuta uko wapi huo uanaume.na asubuh msg ukamtumia kabisa aisee
anawaza alichokifanya mpe mudaJana mpenzi wangu aliniita kuchukua hela nliyomkopesha. Ilikuwa tsh 100,000. Nlikaa kidogo, baada ya kunipa hio hela nikaondoka. Baadae jioni, masaa ma4 hiv akanipikia kuwa ameibiwa hela na anahisi ni mimi. Bahati nzuri ile hela alonipa bado nlikua nayo. Nikaenda nikamkuta na rafiki zake. Waliponiona wakatoka nje kidogo wakaongea af yeye akarudi ndani kwake, marafiki zake wakaingia vyumbani kwao. Nikamuuliza nn kinaendelea,. Akanambia ameibiwa tsh 80,000. Na anahisi ni mimi. Nikwamwambia sijachukua hela ake, na sijawahi kuiba hela wala kitu cha mtu. Akasisitiza mm ndo nimeichukua. Nikaona isiwe shida nikachukua tsh 80,000 nikampa. akafanya kukataa. Nikamwekea mezani nkaondoka. Nikabakiwa na tsh 20,000.
Leo asubuhi nimemjulia hali kwa sms hajajibu.
Kama ni ww ungefanyeje.
Mi n kk co dd. Any way poa. Nimekupata fureshi.
Daaaah kuna watu ni katili duniani sijawahi kuona mungu ampiganieAkaufukuzae hakwambii toka dada, ila na ww una moyo