Niliachwa Jumatano nilipitia maumivu yasiyoelezeka, nilijiona sina thamani ila Ninafuraha sana mda huu jioni hii kaniomba msamaha tumerudiana and I,m So Happy,
ila nilikuwa naumia Sana ila uzuri karudi kwangu na nimeisha msamehe I hope for the best for Both Of Us. She's my Future Wife
kaa! bora wewe uliachwa juzi mwenzio nina mwaka na miez 3 lakini bado nampenda sana nangojea nikijaliwa nikaombe radhi mimi na hata kama sisi wana ume ni mabwege lakini kupenda hakuna mwenyewe. mshukuru MUNGU kaka yangu kwa kurudiana hakuna kitu kibaya na kinachoumiza hapa duniani kama kuachana na mtu unaempenda na umezoeana nae.
Hongera mkuu
Ameona thread zako za Leo nn?? Maana ulikua unazishusha kama mvua,
Yan mwanaume Una roho njepesi wewe....
Af et unajiita tajirimtata, huna utata wowote....
ILA hongera bhana
Haaa Hii ni kweli
Mkuu mchana alikuwa analia hapa ndo mana nikampa hiyo.
Si uende tu sasa hivi ukamuombe radhi. We unafikiri yeye ana wazo kama utakuja kumuomba msamaha? Usijeshangaa siku unaona picha za harusi yake. Kama unampenda mfate tu now, before its too late

Nimeona thread zako kama ya pili hii leo halaf mwendelezo wako n.mapenz tu kwan.lazima akikuacha angalia mbele maisha lazima yasonge