Mpenzi wangu kaniibia kila kitu, katoroka

Preta kama utapita mwanza mjini wakati unarejea kwako /kwenu ,nitafute nikupe take away ya samaki

Nikitoka Bunda nitafika hadi Musoma...........Mwanza nitakuja rasmi unipeleke Jembe ni Jembe............
 
Bosi wangu alipata kuniambia siku moja 'wewe ni kijana ikitokea umeteleza kwa mwanamke na ukaenda naye gheto kwako,kama utatoka kwenda dukani,mfungie ndani na usiku mkilala chunga sana hakikisha haoni wapi umeweka funguo vinginevyo utakuja juta',leo ndo naamini kauli ya boss,boss asante kwa ushauri murua mungu akuzidishie busara zaidi boss
 
pole mkuu, wanawake wa mkoa fulani hv wana hizo tabia,huyo wako wa wapi?
 

umesema ulienda kulala kwa rafiki yako, inamaana mkeo alitoroka na nyumba pia.
 
Vitu vyako vipo getoo mdau... Mkeo kaniletea tuanzie maisha ww si unajidai wa mujini.! Utapata vngne
 
Na zaidi lililonishangaza.......ni hilo la kuwekewa ugali na mchuzi wa samaki kwenye shuka.......hivi wachawi wana akili timamu kweli...........?........hiyo ndio nini sasa..............

Minikajua labda ndo unaenda kusuruhisha ndoa ya huyu jamaa yetu make anadai mke kaamisha kilakitu
 
kwanini story za kutunga zinakuwaga tamu kuliko halisia?anyway kamuangalie kwao kwanza

kwaiyo we umeona hii ya kutunga sio? any way sifikirii kwenda kumuangalia kwao kwan am sure hawez kwenda nyumbani.
 

sasa huyu mimi siyo wa kupita, ni mke wangu na nimeishi nae for a long time bro.
 
Haha pole mkuu nna mshkaji wangu nae kalizwa na mwenza wake ingawa wao hawakua wameona
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…