Mpenzi wangu kaniibia kila kitu, katoroka


silii vitu namtaka yy mwenyewe na mwanangu
 
Youngsharo hawezi kuwa na mke wala kazi..usipoteze muda kumshauri mtu anayeitwa youngsharo

Tu - assume tu kuwa yamemkuta kweli. Au Inawezekana ukawa unampa ushauri mtu mwingine mwenye masaibu kama hayo
 
malaz muda wowote narudisha na ivyo vitu vingine vitarudi, lakin nafikiria nitaishi vp bila mke?
for time been just be alone .... huku ukiangalia namna ya kufanya... yafaa nini kuwa na mke mgomvi au mkorofi? maisha ni zaidi ya mke
 

Aisee una moyo, ushauri wote huu!!

Mwenzako yupo kwenye mazoezi ya fasihi andishi likizo hii
 
sikatai kuwa peke angu kwa muda but nawaza nitaweza?
utaweza ni mind setting tu mkuu.. kwanza kubaliana na hali halisi iliyojitokeza then fanya maamuzi kuwa imetokea and you need time to think .. maamuzi utakayofanya sasa yanweza kuwa si mazuri...
 
Nilikuwa nasubiri BADILI TABIA verification!!

Sasa waweza kumruhusu mwana wa Adam A.k.a Sharo aende twisheni, Ilala mchikichini.

platozoom sishangai kama mmeshindwa kuwaamini wanachosema mitume wa dini zenu je mtaweza kuniamini mimi ninachokisema?
 
Last edited by a moderator:
sikatai kuwa peke angu kwa muda but nawaza nitaweza?

baada ya kuondoka umejua thamani yake ungesuluhisha mapema asngeondoka nenda kwa wazazi wake utoe taarifa kwanza kabla hujadaiwa binti wa wenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…