Hapo kaanza kujileta. Sasa uamuzi ni wako, Kuendelea naye ama laa.kama kichwa cha habari kinavyo sema, mpenzi wangu kaniambia nimuache kwanza,basi mimi nikamjibu “ok sawa”Zimepita siku karibu tano saizi atujatafitana kwani hata namba yake nilifuta kwa ajili ya asila hila juzi usiku kanitumia sms ikisema? “usiku mwema” bila kusita nikafute ile sms kwa sababu nilijua tu kuwa niyeye kwa kuwa namba yake nakumbuka ilihishia 51.Jamani wana JF nipeni ushauri nifanyeje bado nampenda sana uyo mwanamke
kama kichwa cha habari kinavyo sema, mpenzi wangu kaniambia nimuache kwanza,basi mimi nikamjibu “ok sawa”Zimepita siku karibu tano saizi atujatafitana kwani hata namba yake nilifuta kwa ajili ya asila hila juzi usiku kanitumia sms ikisema? “usiku mwema” bila kusita nikafute ile sms kwa sababu nilijua tu kuwa niyeye kwa kuwa namba yake nakumbuka ilihishia 51.Jamani wana JF nipeni ushauri nifanyeje bado nampenda sana uyo mwanamke
Hapo sasa. Hata mimi ningemwambia aniache kwanzaKuandika kwenyewe hujui
safi ushauri wako ni mzuriHapo kaanza kujileta. Sasa uamuzi ni wako, Kuendelea naye ama laa.
Hapo ukiendelea kumchunia, Ndo atazidi kuchanganyikiwa na wewe[emoji23]
Hapo anataka muendelee, Si unampenda, mkaushie kidogo jifanye kama hauMIND[emoji23] [emoji119] alafu jipangie Siku muitw geto, Ule vyako.
Kama unang'ang'ania usipopendwa shauri lako, keshokutwa usilete thread nyingine ya kuomba ushauri kuwa unateseka na mapenzidah!!!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kuandika kwenyewe hujui