Mpenzi wangu kakataa kuja kukaa na mimi

Mpenzi wangu kakataa kuja kukaa na mimi

Unataka kukaa nae wakati hamna ndoa? Huo ni uzinzi bora amekataa
hahah kwani lazima muoane ndio mkae pamoja.....siku izi mnachukuana tu mnaishi wote ilimradi taarifa ziwepo kwa wazazi kwamba anaishi na fulani sehemu fulani...tchao
 
Tena me nampa heko!![emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106]
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom