Mpenzi wangu kafuma kondom chumbani kwangu

Mpenzi wangu kafuma kondom chumbani kwangu

haaa zangu nilipozificha hata shetani aje hazioni😀😀😀
 
Hatare. Mie kuna siku nimepiga mechi wakati natupa chini cover inaingia kwenye begi niliandaa maana nilikuwa nasafiri alfajiri kurudi home. Nilikaa siku mbili sijui, siku nataka kuchukua chaja kwenye begi nikakutana nayo. Nilihisi ganzi mwili mzima. Nikashukuru hakuiona, nimeapa sirudii tena maana Mungu amenipa onyo maana angeikuta yeye sijui ingekuaje.
 
Mwangu Jana Nilikua Napangua Gia Za Semi Ambayo Haina Breki Kwenye Utelez.Nilipiga Sound Na Magoti Juu Man.Nimekoma Aisee
 
Walikuta zilizotumika na uji uji wake, sembuse hizo kavu.
 
Yaani umeoa halafu unaleta watu kulala na mahawara zao kwako.....!!!!

Unajua thamani ya ndoa kweli wewe?

Unajiheshimu kweli wewe?
 
Yaani umeoa halafu unaleta watu kulala na mahawara zao kwako.....!!!!

Unajua thamani ya ndoa kweli wewe?

Unajiheshimu kweli wewe?

Dah Nimejifunza Mana Nilichokiona Ni Zaidi Ya Trela Ya Picha La Ngumi Za Kihindi
 
Nashindwa kuelewa hii story.
Au inafanana na ile ya Richmondi nini?
 
Mmmmmm kuna thread zinachekesha ila hii kidogo aibu ______ Watu hawaazimanagi tena mageto mmmmm
 
Uone mianaume mlivokisa heshima na mlivyo na madharau. Lkn ukikuta wako anagongwa usilete uzihapa ulie kimyakimya
 
Back
Top Bottom