Mpenzi wangu kafuma kondom chumbani kwangu

Mpenzi wangu kafuma kondom chumbani kwangu

BUMIJA

Wanaume Wengine Bhana! Wewe Umefumwa Tu Na Condom Unatokwa Na Mapovu Hivi Je Na Sisi Wenzako Tunaofumaniwa Kila Kukicha Na Wake Zetu Tusemeje?

Kwa iyo we kufumaniwa umegeuza mradi
 
Last edited by a moderator:
Ndoa inahitaji kuheshimiwa. Huwezi kumwachia rafiki yako kitanda unachotumia na mkeo afanyie zinaa.
 
wewe hujieshimu na mke wako humthamini unamwambia uongo katubu man
 

Amenielewa ila ni baada ya siku nzima na kamwambia mama yangu mzazi.

Jamani wanaume wenzangu tuwe makini na mipira mana ukikutwa.

Nashukuru amenielewa.

We jipe moyo ufikir kakuelewa.. Kakubali tu yaisheeeeeee
 
Mimi nikimkuta mwanaume wangu na Kondomu iliotumika au kupungua nitasema Alhamdulillah.!!
 
Mchafu kuliko maelezo pamoja na huyi mxinzi mwenzio. Huna aibu kufanya hayo nyumbani ambapo mkeo yupo umekosa heshima kupita maelezo. Mchooooyo bahilii la kutupwa ameshindwa kulipia chumba hotel au guest. Shame on u na huyo dame aliyekubali kupelekwa gheto lenye wenyewe damn it bloody shit.
 
Huyo mwanamke nae hana akili timamu,yani amedanganywa nae akadanganyika,utamruhusu vipi rafiki yako atumie kitanda chako kufanyia uzinzi?
 
Back
Top Bottom