Money Penny
JF-Expert Member
- Jun 20, 2016
- 15,921
- 14,820
Mara Paaap nafungua Instagram naambiwa James Bond Amekufa🙆
Uuuuwi jamaani kwanini umekufa weweee
Mwanzilishi wa Sinema za James abond Duniani na Owner WA Copy Right ya James Bond Movies, Dead and Gone today😭
Pumzika Kwa amani ya Bwana na Mimi nitaendelea kukupenda kama Money Penny