Mpenzi wangu hopokei simu zangu

Inaumiza sana. Wanawake wako wengi kuliko wanaume. Lakini wanaume bado tunateswa kihisia na wanawake. Wangekuwa wachache halafu wanaume wengi. Mateso si yangekuwa mengi kuliko sasa?!

Ila mbaya sana. Mwanamke akiteswa kihisia na mwanaume inaumiza. Naye mwanaume akiteswa kihisia na mwanamke inaumiza. Mapenzi ni mchezo wa kijinga sana
 
Hebu weka namba yake hapa tumpigie kumwambia apokee
 
Nani alikudanganya ni wako hadi useme mpenzi wangu.

Huyo alikuwa mpenzi wenu
 
Wee jamaaa nimecheka mpaka nimetoka nje hapa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ kwahyo wewe ni bora hesabu sio mapenzi sioo ahahaha hupendi kabisa mapenzi au

Nakupa hesabu ya phy sio mda hapa
 
'Simu inakatika'!

Rahisisha kuwaza kuwa, mhusika wa mimba hiyo aweza kuwa siyo wewe ni mtu mwingine.

Na simu ikipigwa ikachuchumaa bila kushika net work, huwa mara nyingi ni blockage!

Mwanamke umemuwini kwa kitumbo akublock!
Kuwa serious mkuuu!
 
Mimi simu zangu mwisho mbili hupokei utanitafuta mwenyewe ukiwa na nafasii
 
Huyo ana ujauzito wa mtu mwingine, pole kwa kuingia hasara ya kumnunulia simu kubwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…