Mpenzi wangu hatosheki tunapofanya mapenzi

Mpenzi wangu hatosheki tunapofanya mapenzi

makolola

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2014
Posts
765
Reaction score
290
Huyu binti nimekuwa nikimundaa vizuri tu wakati wa tendo mpaka anapizi kabla hata sijaanza kazi, cha kuashangaza kila mimi nikifika yeye anakuwa bado anahitaji tu juzi nimepiga kama goli nne gesti kwa kama masaa sita lakini yeye bado anataka tu namwambia hapana anaanza kulia na anataka.

Ikafikia mahali nikaishiwa nguvu mpaka naenda uwani miguu haina nguvu napepesuka kurudi namkuta kajibinua miguu imegusa ukuta anataka niendelee, kwa kweli nimeingia kwa tabu tabu nadhani nilipizi upepo na ikabidi nilazimishe tuondoke ingawa alikuwa bado anataka nipumzike kidogo alafu tuendelee tena.

Kwa kweli huyu ni mwanamke wa kwanza nakutana nae ambaye ni king'ang'anizi wa kusuguliwa nifanyeje ili niweze kumudu maana mashine yake inavuta fresh na yuko bomba, ila huwa najifikiria mara mbili mbili kabla ya kukutana nae walau niwe nimekula nyama au supu ila bado anatoka mwenye kuhitaji.

Nimfanyeje ili niweze kummudu?
 
makolola

Nina uhakika uko under 30, iko hivi kuna baadhi ya wanawake ngono ndio hobby yao kwahiyo zaidi ya kumuandaa hakikisha round ya kwanza haipungui 30mnts na kila unapokaribia kumaliza chomoa kisha vuta pumzi tatu ndefu kuondoa carbon kwenye mapafu kisha rudi chimbo na unapomaliza round ya kwanza nyweshea nje ya kibubu..!kwa njia hii mnyama hatodhoofika ila hakikisha umeshiba
 
Last edited by a moderator:

Mkuu una PhD kwenye haya makitu?
Khaaaaaaa
 
Nenda zoezi ndugu..jiandae vizuri kwa sit-ups 150 kila siku na press-ups kadhaa kisha ukimbie mapema asubuhi kuongeza nguvu..nakwambia ukishika mtu hivi anahisi kama amepigwa shorti stima anabaki kulia umsamehe, nipe ajira nikutengezee mtu
 
huyo ananifaa mimi seriously, coz mi mwenyewe kufuckate huwa sichoki, nipm namba yake nitafurahi sana.
 
Huyo sio level zako dogo, fanya jambo moja la msingi maana. niko tayari kukuondolea mzigo huo unaokushinda, nitumie namba yake.
 
Unatakiwa utambue ni sehemu gani kipele kilipo, apo ukikuna vizuri kwenye kila mshindo mmoja yeye unaweza kumpandisha mlima kilimanjaro ata mala tatu, pia jifunze kubana pumzi wakati unahondomola iyo itachelewesha wazungu kuja mapema!
 
Back
Top Bottom