love more than100
JF-Expert Member
- Jan 27, 2014
- 2,061
- 715
Kwa jina lako tu lilivyo hata ingekuwa mie sitaki unifatilie.
Kwa jina lako tu lilivyo hata ingekuwa mie sitaki unifatilie.
kuna watu wanaboa nyie jaman akishaunga kifurushi hutalala, kazi hufanyi kila saa uko wapi na nani unafanyaje mbona hufiki gari gani hilo umepanda , hebu nipe dereva niongee naye. umeenda bank kutoa shingapi za nini? duka lako linaingiza kiasi gani? mshahara wako unautumiaje bila kunishirikisha....nyooo eti ni mpenzi utakuwa unakera ndio maana kachoka
Wewe ni mtoto mdogo sasa mambo ya kikubwa ya nini?
Toka huko shindwa na ulegeee kama mlenda wa wahehe
Jamani nishaurini.
Nina mpenzi wangu nampenda sana Juzi kaniambia kuwa yeye hapendi nimfuatilie.Yaani kaenda wapi, yupo na nani, karudi Saa ngapi e.t.c.
Sijamwelewa But imebidi nikubali kwakua nampenda.Lakini mimi ninavyoelewa ni kwamba mtu ambaye mwaminifu hawezi ogopa kuulizwa alikuwa wapi.
Nifanyeje mimi mwanaume.
kwani mna mda gani kwenye mahusiano yenu? Kama bado siyo mrefu give her time may be anahisi your not a right choice dont rush its will flow automatic and you will get what you wish to have dont push .. And if u ask ask politely way ....
Pia yawezekana mlimtongoza wawili kwa wakati mmoja sasa mpo kwenye mchojo .. Ni wazo pia
ameniacha
Ha k umbe kakuacha sa apo wafatilia nn? Maswali meng ya nin kw ex? Shtuka.
Hii Thread Niliandka Kabla Hajaniacha