mtoto mdogo
JF-Expert Member
- Aug 6, 2014
- 501
- 130
- Thread starter
- #21
Umeitendea haki ID yako, hongera sana.
Hahahahaha
Umeitendea haki ID yako, hongera sana.
mpe mda uone kwa nini anasema hivyo.. yawezekana wewe ni wale wanaume kila dakika unapiga simu na kumbana mtu... ndiyo mapenzi yapo lakini uhuru wa mtu binafsi ni muhimu pia... tatizo wengi tunajisahahu tukisha kuwa wapenzi mnahisi kuwa hakuna maisha mengine zaidi ya mapenzi which is wrong.... ndiyo maana huwa mapenzi yanaboa sometimes.
Kweli we Mtoto MDOGO!!
kwani mna mda gani kwenye mahusiano yenu? kama bado siyo mrefu give her time may be anahisi your not a right choice dont rush its will flow automatic and you will get what you wish to have dont push .. and if u ask ask politely way ....
pia yawezekana mlimtongoza wawili kwa wakati mmoja sasa mpo kwenye mchojo .. ni wazo pia
upo dar es salaam???
akili yako changanya na ya kuambiwa!!! mwanamke akikwam,bia hivyo jua ana mtu maana mara nyingi ktk mahusiano wanawake ni wanyenyekevu sna!!
Me Mwanaume, Atakua Na Nn
Kuna Wakat Inapta 5 Days Hatujacomunicate
Npo Arusha
five days hamjawasiliana na mpenzi wako ? duuuh hapo hamna mapenzi amekufanya mchepuko anae mwingine
sasa kwa mfano demu wako anakuambiaje maneno ka hayo??
nani anaefaa kumwambia mwenzie hvy kati ya boy na gal
au ulimtongoza club au sehemu nyingine za starehe kama umemtoa sehemu ka hizo usimfatilie coz ndo life style yake
demu ukimtoa church atakua kichachichachi
ukimtoa bar atakuwa hivyo inshort mazingira utakayomtongoza demu usijipe moyo kwamba utamuweka ktk mstar wako otherwise utapata majibu kama hayo
Wengine mna wivu sana na ving'ang'anizi washupaza shingo.
wala me namtreat kawaida sana simfuatilii sana
Jamani nishaurini.
Nina mpenzi wangu nampenda sana Juzi kaniambia kuwa yeye hapendi nimfuatilie.Yaani kaenda wapi, yupo na nani, karudi Saa ngapi e.t.c.
Sijamwelewa But imebidi nikubali kwakua nampenda.Lakini mimi ninavyoelewa ni kwamba mtu ambaye mwaminifu hawezi ogopa kuulizwa alikuwa wapi.
Nifanyeje mimi mwanaume.
Unaposema unamtreat kawaida na wala humfuatilii sana una maanisha nn?
Jamani nishaurini.
Nina mpenzi wangu nampenda sana Juzi kaniambia kuwa yeye hapendi nimfuatilie.Yaani kaenda wapi, yupo na nani, karudi Saa ngapi e.t.c.
Sijamwelewa But imebidi nikubali kwakua nampenda.Lakini mimi ninavyoelewa ni kwamba mtu ambaye mwaminifu hawezi ogopa kuulizwa alikuwa wapi.
Nifanyeje mimi mwanaume.