Prof Janabi wa JF
Senior Member
- Jul 7, 2023
- 189
- 490
Nikitangaza malengo mapema huwa tunaonekanaga matapeliSasa haujaweka wazi malengo yako kwake atakuamini vipi ukizingatia ndio mna miezi miwili kama sio mmoja tangu mkutane? Ukienda kumtelekeza huko?
If you are anyhow serious, karibu PM. Huyu kashanikera sana.Njoo nichukue Mimi mwaya
Sidhani, au inawezekana nimemuamini sana, maana huwa simfuatilii,Huyo unayemuita mpenzi wako ana mpenzi wake ambaye hawezi akamuacha mpweke kwa miaka miwili.
Wa ughaibuni najua ugumu itakuwa culture nahisi itakuwa rahisi kuachana na warembo wa huko. Ndio maana natamani born here here ili akiongea bi mkubwa wangu kijijini aeleweAchana nae nenda ughaibuni utakutana na wanawake wazuri mpka ushangae .
😂😂😂😂Anaogopa utamsumbua na ratiba zako za msosi maana huko vyakula vingi ni vya kusindika
Nitaweka wazi siku nikikwea mwewe, stay tunedUghaibuni ipi?? Weka wazi mkuu, wa kuondoka naye tupo wengi 😜
Unakwea vipi mwewe bila ya kumpata wa kuondoka naye kwanza we ProfesaNitaweka wazi siku nikikwea mwewe, stay tuned
SahihiHuyo unayemuita mpenzi wako ana mpenzi wake ambaye hawezi akamuacha mpweke kwa miaka miwili.
chukua mmoja kati ya hawa Nakadori To yeye Financial service au NumbisaUmufia kwenu wakuu,
Kwa muda mrefu nilikuwa na uhitaji wa kuoa, ila nilikuwa na ugumu wa kumpata mwanamke. Katika harakati za hapa na pale mwaka huu nikampata mtu nikasema hiki chuma nakiweka ndani. Ila sijamwambia kama nataka kumuweka ndani.
Hata hivyo nilikuwa na harakati za hapa na pale ambazo nyingi alikuwa anazijua. Na ghafla nikapata mishe ya kwenda ughaibuni kwa kipindi cha miaka miwili. Hii mishe inaruhusu mtu kwenda na wategemezi wake. Mimi nikaona niongee na mama mtu ili twende wote.
Aisee huyu mrembo kanichomolea, kasema hataki kwenda. Sasa nawaza nimuache, niende zangu nikachukua mrembo wa ughaibuni nirudi naye au nichukulie poa. Fikiria miaka miwili nikae mbali, lazima nitafanya mambo yangu, na yeye najua kuna mlevi atakuja kumkaza, aisee nimekwazika nawaza nimuacha kama kupata wa kuoa natamani nipate mwingine ili tuende wote, au kama vipi nikapeperushe bendera ughaibuni
Wadau mnaniambiaje. Natarajia kukaa ughaibuni kwa miaka miwili, na kiukweli sitamani mrembo wa ughaibuni ila naona kama nalazimika iwe hivyo.
Naombeni ushauri wenu. Kataa Ndoa huu uzi hauwahusu
Kwenda na mtu sio lazima, japo nimepewa fursa za kufanya hivyoUnakwea vipi mwewe bila ya kumpata wa kuondoka naye kwanza we Profesa
Nachukua hii mzee wanguAchana na hyo takataka mazee kapige mishe zako uweke faranga kibindoni.
unaweza kwenda nae akaishia kuwa kero tu
Unaweza ukaenda nae ukakuta visu huko ughaibuni ambao wapo aggressive na utafutaji ukajuta kwenda na goalkeeper
Unaweza ukaenda nae ukapata ramani nyingine za kipesa lkn yy akawa kama kikwazo Cha ww kufanya free movement
Unaweza ukaenda nae akakuletea sera za ajabu hawaishiwagwi vimbwanga