Ni angalizo zuri sana mkuu, kuna haja ya kujiuliza mara mbili mbili ikizingatiwa jamaa wako mbali kimtindo!iliwahi kutokea kwa rafiki yangu mmoja hali kama hiyo na walikubaliana hata majina mapema kabla mtoto hajazaliwa. Baada ya kuzaliwa mtoto mwanamke aakataka jina libadilishwe na lisiwe lile walilokubaliana mwanzo, mume akawa mgumu na akakomaa kuwa lazima mtoto abatizwe jina walilokubaliana na baada ya ubishi wa muda mrefu mume akashinda. Baada ya miezi mitatu au minne kupita, mume akafuma message ya mwanaume mwingine katika simu ya mkewe na ktk msh hiyo huyo mwanaume alikuwa anamlaumu demu kwa kukataa kumbatiza mtoto jina ambalo yeye (huyo mtuma msg) alilichagua na akakubali jina lililotolewa mume mwenye nyumba. Chunga sana kunaweza kuwa na kitu hapo. huenda hiyo mimba ni ya watu wawili (kila mmoja analea kwa wakati wake na kila mume na jina lake la mtoto)
iliwahi kutokea kwa rafiki yangu mmoja hali kama hiyo na walikubaliana hata majina mapema kabla mtoto hajazaliwa. Baada ya kuzaliwa mtoto mwanamke aakataka jina libadilishwe na lisiwe lile walilokubaliana mwanzo, mume akawa mgumu na akakomaa kuwa lazima mtoto abatizwe jina walilokubaliana na baada ya ubishi wa muda mrefu mume akashinda. Baada ya miezi mitatu au minne kupita, mume akafuma message ya mwanaume mwingine katika simu ya mkewe na ktk msh hiyo huyo mwanaume alikuwa anamlaumu demu kwa kukataa kumbatiza mtoto jina ambalo yeye (huyo mtuma msg) alilichagua na akakubali jina lililotolewa mume mwenye nyumba. Chunga sana kunaweza kuwa na kitu hapo. huenda hiyo mimba ni ya watu wawili (kila mmoja analea kwa wakati wake na kila mume na jina lake la mtoto)
Jamani nisaidieni huyu mwana mke simuelewi sijui ndo usomi mimi na yeye wote tume graduate mwaka jana.mkewangu akiwa na mimba tulielewana kuwa akiwa mtoto wa kike jina amchagulie yeye na akiwa wakiume jina nitampatia mimi.tatizo likaja baada ya mtoto kuzaliwa akazaliwa mtoto wa kiume me nilikuwa mbali na yeye alikuwa mbali coz tumeajiriwa mikoa tofauti. Nilipo mtajia jina alikubali but baada ya siku mbili ana niambia yeye atamuiata jina lake ambalo ni jina la kaka yake la kwangu ana niambia ndugu zangu ndo wamuite hili la kwangu. Ivyo hadi saizi mtoto wangu wana muita jina hilo ambalo mimi pia silitaki nisaidieni jamani
Hata mimi nalikuwa na wazo kama hilo maana mnaelewana mwishoni ndo mnashindwana, na mmwanamke mwenyewe ni mpenzi na mimba yawezekana ameipata mkiwa chuo duuuuu! hapo jaribu kuwa makini kidogoiliwahi kutokea kwa rafiki yangu mmoja hali kama hiyo na walikubaliana hata majina mapema kabla mtoto hajazaliwa. Baada ya kuzaliwa mtoto mwanamke aakataka jina libadilishwe na lisiwe lile walilokubaliana mwanzo, mume akawa mgumu na akakomaa kuwa lazima mtoto abatizwe jina walilokubaliana na baada ya ubishi wa muda mrefu mume akashinda. Baada ya miezi mitatu au minne kupita, mume akafuma message ya mwanaume mwingine katika simu ya mkewe na ktk msh hiyo huyo mwanaume alikuwa anamlaumu demu kwa kukataa kumbatiza mtoto jina ambalo yeye (huyo mtuma msg) alilichagua na akakubali jina lililotolewa mume mwenye nyumba. Chunga sana kunaweza kuwa na kitu hapo. huenda hiyo mimba ni ya watu wawili (kila mmoja analea kwa wakati wake na kila mume na jina lake la mtoto)