Mpenzi wangu hanijibu

Mpenzi wangu hanijibu

Una mke, una mke mdogo, una mchepuko, kipato kwa siku 2500 halafu una mke mdogo anadaiwa kodi ya 600k na mchepuko anataka pc ya 1m kisha unamiliki viwanja 7
Mtoa mada utakua umevuta bangi kisha ukaingia JF ukaandika uzi waenye mawazo ya kibange bange
 
Mademu watatu tu unalialia mkuu,halafu Kila siku unaomba Mungu akutendee kama mfalme sulemani?Acha upuuzi kaza matako wanaume tutapumzika tukifa.
 
Ama kweli kua uyaone,nilijuwa magorofa.

Ni siku ya pili leo hii tunakula milo miwili baada yamambo yangu kukwama kidogo. Hanipi unyumba na hanijibu kwachochote.ingawa milo tunakula ni miwili,ila haiwezi kuwa sababu yamimi kunyanyasika hivi

Jana tukala mchana na jioni,asubuhi akanywa maziwa kikombe cha kahawa ya 300 ya kupima, kwake anadai huo hauesabiki kua mlo. Mchana akala ugali samaki nyama wale wa kwenye vifuko,jioni akala wali kwa maharage.

Vyakula hivi natafuta kwa shida sana,yaani jana na leo kutokula asubuhi ndiyo asijibu lolote ninalomuuliza? Nalipwa 2500 kwa siku vibarua vya mchanga,natowa maitaji yote ila naonekana sina thamani

Simu yake kizibo kimepasuka,dukani ni 5000, nimetafuta mnati mzuri tu nimefunga napo ameniziria anasema aitaki tena, niweke kizibo kipya au nimnunulie nyingine.

Sawa tuache hilo,leo mchana asubuhi amekula maandazi 2 kwa maziwa ila anahesabu ajala kitu. mchana amekula walu dagaa wa nyama tena na mchezo amegoma kutoa... jioni hii atakula tena dagaa wa nyama kwa ugali nasubiri nione atasema ana njaa au la

Ndowa yangu inapitia magumu.. kwa mke wangu mdogo ni week ya tatu sasa anadaiwa kodi nilipompangishia, takribani 600000,napambana niitafute na kuna mwingine mpenzi wangu mwanachuo anataka laptop anasema zinauzwa milioni moja..

Nimetangaza bei nauza kiwanja changu kimoja kati ya saba nilivyonavyo...

Maelezo yamekua mengi samahanini... ila mzizi ni maisha yangu na mke wangu uyu asiyetambua thamani yangu.

Namuhukumu vipi huyu? Nimuache nibaki na mke mdogo?
Sasa wanawake wote hao wa Nini? Inakuwa kama upo kwenye mashindano.
 
Back
Top Bottom