4rever young
Senior Member
- Jul 26, 2019
- 136
- 125
Wewe ni mpumbavu sana. Wakiwa na mabwawa mnalalamika, wakina wajuvi mnalalamika,wakiwa goigoi mnalalamika.Wakuu heshima zenu bhana!! [emoji119][emoji119][emoji119]
Swala zima lililonipelekea kuandika uzi huu n msaada wenu wa kimawazo jamani kuhusu dem wangu huyu ambae hana a wala be kwenye swala la kwichikwichi yan hua analala tu kwenye bed na kunisubiri mimi nifanye kila ki2 na nikishamfikisha kilelen ndio kamaliza yani hashughuliki tenah na kidume mm?? ni mrembo kwa kiasi chake sema hana ujuzi kabisa,,,, ndugu zangu naomba mnielewe hapa nikisema HANA UJUZI KABISA ni kwamba hamna ki2 wazee,,,
Kiukweli napata tabu sana,, hanipi kile nilichokua natarajia na nikiwaza nimteme Roho inaniambia ucfanye hvyo kabsa!! Cjui nifanye nn ndugu zangu! EMBU NIPENI USHAURI
Muelekeze vile unataka afanye yawezekana hajui.Wakuu heshima zenu bhana!! [emoji119][emoji119][emoji119]
Swala zima lililonipelekea kuandika uzi huu n msaada wenu wa kimawazo jamani kuhusu dem wangu huyu ambae hana a wala be kwenye swala la kwichikwichi yan hua analala tu kwenye bed na kunisubiri mimi nifanye kila ki2 na nikishamfikisha kilelen ndio kamaliza yani hashughuliki tenah na kidume mm?? ni mrembo kwa kiasi chake sema hana ujuzi kabisa,,,, ndugu zangu naomba mnielewe hapa nikisema HANA UJUZI KABISA ni kwamba hamna ki2 wazee,,,
Kiukweli napata tabu sana,, hanipi kile nilichokua natarajia na nikiwaza nimteme Roho inaniambia ucfanye hvyo kabsa!! Cjui nifanye nn ndugu zangu! EMBU NIPENI USHAURI
Kuwa kocha mchezajiinabidi wewe ndio umuelekeze nini anachotakiwa kufanya, huenda hajui lakini kadri mda unavyozidi kwenda atafahamu tu
Hahahaha umenivunja mbavumrudishie gwajima dem wake
Dadeq! Yummy!!Kama ni kweli hajui basi mfundishe hilo ni jukumu lako wewe mjuvi,.na awe tayari kufundishika maana wengine hawakawii kusema "we naeee humalizii tyuu" ila wote mkijua kurindima woiii hapawi pakavu kutia mchuzi[emoji41]
Balaaa😋😋Dadeq! Yummy!!
Hahaha aiseeKama ni kweli hajui basi mfundishe hilo ni jukumu lako wewe mjuvi,.na awe tayari kufundishika maana wengine hawakawii kusema "we naeee humalizii tyuu" ila wote mkijua kurindima woiii hapawi pakavu kutia mchuzi[emoji41]
Kila nikionaga comment yako yeyote ili mapigo ya moyo yanabadilika, sijui kwa nini [emoji848][emoji848][emoji56][emoji56][emoji39][emoji39]Kama ni kweli hajui basi mfundishe hilo ni jukumu lako wewe mjuvi,.na awe tayari kufundishika maana wengine hawakawii kusema "we naeee humalizii tyuu" ila wote mkijua kurindima woiii hapawi pakavu kutia mchuzi[emoji41]