kindondindo
JF-Expert Member
- Jul 8, 2013
- 503
- 151
mpigie ngoma ya kabila lake uone anavyo vunja!
Wakuu,
Me kiukweli ni mpenzi wa Music sana. Sasa nimegundua mpenzi wangu hajui kuyarudi maana kila akija gheto nikimwekea Music yeye ndo kwanza analala zake.
Nifanyaje nimfanye nae aweze kuyarudi mandombolo ya solo?
siku ya harusi yetu kwenye kile kipengele cha bwana na bibi harus watufungulie music itakuaje unadhan mkuu?si ataniaibisha mkuu?
Hapo mwenzio anawaza kwaito siku ya harusi!Yani mapenzi ni shughuli. Kucheza music ni kigezo pia siku hizi, kazi kweli kweli
Mkuu kujua kucheza muziki ni kigezo ktk list yako?
Maneno ya kitoto, mtoto kumwambia mtoto mwenzie tunasema watoto wanacheza.
lakini
Maneno ya kitoto mtu mzima kumwambia mtu mzima mwenzie tunasema huo ni.......................................................
Unampigia Hiphop unategemea nini
mziki gani....kama singeli ni ngumu ila kama mziki wa kitandani mlete tu mkuu kuna ufund ntampa
Aaah Huyu mwenzako Anataka kutoa show Kabisa, yani wanakuwa na special wedding dance lolHapo mwenzio anawaza kwaito siku ya harusi!