DissDotCom
JF-Expert Member
- Mar 31, 2014
- 395
- 268
mziki gani....kama singeli ni ngumu ila kama mziki wa kitandani mlete tu mkuu kuna ufund ntampa
Kwani maharusi wanapofungua mziki huwa wanakata mauno? Pale huchezwa mziki wa taratibu (blues) hichi kipengele hakuna anaye kishindwa.
Hata iwe ni wakati wa kuingia hawezi shindwa ndo maana hata harusi nyingi huweka watoto mbele. Kuchezesha miguu, mikono, kutikisa mwili, kucheka na kuangalia chini kwa aibu bibi harusi hashindwi.
Ila kama unataka kwenye harusi yako acheze kama striper basi kazana kutafuta anayejua
anaweza akaniaibisha siku ya harusi yetu.
Njoo kwang maana mi pia naoenda kucheza
Mkuu kujua kucheza muziki ni kigezo ktk list yako?
mziki gani....kama singeli ni ngumu ila kama mziki wa kitandani mlete tu mkuu kuna ufund ntampa
H uyu jamaa kadirio atakua na umri gani?
Wakuu,
Me kiukweli ni mpenzi wa Music sana. Sasa nimegundua mpenzi wangu hajui kuyarudi maana kila akija gheto nikimwekea Music yeye ndo kwanza analala zake.
Nifanyaje nimfanye nae aweze kuyarudi mandombolo ya solo?