Mpenzi wangu hajui kucheza Music

Mpenzi wangu hajui kucheza Music

tang'ana

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2015
Posts
12,054
Reaction score
16,509
Wakuu,

Me kiukweli ni mpenzi wa Music sana. Sasa nimegundua mpenzi wangu hajui kuyarudi maana kila akija gheto nikimwekea Music yeye ndo kwanza analala zake.

Nifanyaje nimfanye nae aweze kuyarudi mandombolo ya solo?
 
Mkuu kujua kucheza muziki ni kigezo ktk list yako?
 
Mi nilianza kumfundisha namna ya kudensi taratibu akishakunywa mvinyo
 
Ulishamuuliza kama anapenda kucheza?? pengine anakuonea aibu?? muulize ujue kwanza usije sema hajui kumbe akiwa na shoga zake ndiye hodari
 
Wakuu,me kiukweli ni mpenz wa music sana,sasa nimegundua mpenz wangu hajui kuyarudi maana kila akija gheto nkimwekea music yeye ndo kwanza analala zake.nifanyaje nimfanye nae aweze kuyarudi mandombolo ya solo?

Una mpango wa yeye kuwa stejishoo baadae.........?.........
 
Ulishamuuliza kama anapenda kucheza?? pengine anakuonea aibu?? muulize ujue kwanza usije sema hajui kumbe akiwa na shoga zake ndiye hodari

nlimuulza akanambia ye music co hobby yake.
 
Una mpango wa yeye kuwa stejishoo baadae.........?.........

siku ya harusi yetu kwenye kile kipengele cha bwana na bibi harus watufungulie music itakuaje unadhan mkuu?si ataniaibisha mkuu?
 
Maneno ya kitoto, mtoto kumwambia mtoto mwenzie tunasema watoto wanacheza.

lakini

Maneno ya kitoto mtu mzima kumwambia mtu mzima mwenzie tunasema huo ni.......................................................
 
Back
Top Bottom