Mpenzi wangu hajawahi kuniomba hela

Mpenzi wangu hajawahi kuniomba hela

Kwanini akuombe wakati amekuzidi kipato!
 
Mimi nikikaa bila kuomba hela kwa mwanaume wangu sijiskii raha....usipomuomba hela mpenz wako au kumpa ujue kuna mtu anakusadia kumpa au anaemuomba
 
ha ha hahaha unataka kuombwa kuna warembo wanabahati yani mpenziwe anataka amuombe hela.. miss mie ningekuja na kautaratibu kabisa kila siku unajua unatakiwa kutoa shilingi ngapi
 
Jamani wakuu ninacho kisema nikweli kabisa. Mpenzi wangu hajwahi kuniomba hela tokea nimeanza uhusiano nae nina miezi sita.

Nilishawahi kumuuliza kwanini hua huniombi hela,akanijibu hajazoea kuomba hela. sasa mtu kama huyu unamuweka kwenye kundi lipi.
[/QUOTE


Unaonekana ulishazoea kuibiwa that y unamshangaaa, umemtoa wapi
Na omba mungu asipate mashoga wajanja utakoma
 
ha ha hahaha unataka kuombwa kuna warembo wanabahati yani mpenziwe anataka amuombe hela.. miss mie ningekuja na kautaratibu kabisa kila siku unajua unatakiwa kutoa shilingi ngapi

Ahahahaha Miss Bwana, Mi Huwa Unachekeshaga Sana Ujue, Sijui Unachokiandika Hum Ndio Uhalisia Wa Maisha Yako Au Ni Usumbufu Tu, Mdomoni.
 
mie navyopenda hela siku mbili tu nishakupiga kizinga.
 
Ahahahaha Miss Bwana, Mi Huwa Unachekeshaga Sana Ujue, Sijui Unachokiandika Hum Ndio Uhalisia Wa Maisha Yako Au Ni Usumbufu Tu, Mdomoni.
ndiyo hivyo mkuu.. yani duh warembo wenye bahat zao
 
Mkuu usisubiri akuombe,sio wadada wote wanatabia ya kuomba,na kutokuomba kwake si kwamba wakati wote yuko na pesa no vile km alivokueleza hana tabia ya kuomba,usichukulie hiyo tabia yake kutokumpa pia, si pesa tu hata vingine avipendavyo.

Jiwekeee tu mpango uwe unampa kila upatapo nafasi,haitomaanisha kuwa unamhonga but it is worthy as you are a responsible man.
Amini nakueleza hakuna raha ktk mapenzi km kumjali mpenzi wako kwa zawadi mbalimbali na kuyaotea mahitaji yake.

MPE pesa,mpe zawadi usisubiri akuombe,tupo tusioomba tunaitwa independent ladies,ingawa tungependa kupewa pia.
Asante.....

Well said....
 
inaezekana hakuombi hela kwa sababu anajiweza au ana kuhurumia au kuna mtu anampa hela nyingi sana. kwa hiyo jaribu kuchunguza sana ili ujue sababu ya kutokukuomba hela.

Pia kwa upande mwingine kama hakuombi hela si ndo mzuka sasa sa we unataka nini tena??? akikuomba hela utasikia maneno mengi sana oohh uyu demu anapenda mara mpigaji....
 
Binadamu hamsoki mademu zenu wakiwaomba hela mnalalamika wasipowaomba hela mnalalamika....sasa tufuate lip?????
 
Subiri tu muda ukifika atakuomba tu , sasa hivi anawaomba wengine.
Hamna namna lazima akuweke vizuri kwanza.
 
Nimecheka sana, maana kuna Dada mmoja huko mbezi dar alikuwa akifanya hivyo kwa bf wake.

Ni binti mmoja maji ya kunde , mnene kiasi, umbo 8, kifua kimechongoka, nyuma kajaliwa, ni urefu wake ni wa wastani

Bf wake alimpa mimba kisha wakaitoa, baada ya muda bf akamwambia anamtoto kwa hiyo anaomba amsamehe ili waoane wamlee mtoto na wengine watakaojaliwa.

Binti ilimwia ngumu lkn alikubali alipokuwa akiomba ushauri alusema "yaan hata shilingi sijawahi kumwomba hata ya vocha"

Lkn huyu binti mtaan ilikua kero alikuwa anaonbaomba tu, na kwa tabia hiyo walikuwa wanampichu mno.

Hahaha umenikumbusha mbali sana, mwanaume usione huombwi hela ukafurahia Sana kuna mahali anaomba randomly.
 
Kweli hili nalo jambo la kukurupusha alfajiri yote huku. Kwa hiyo unaomba kufanywa buzi.... Kweli wavulana mna yenu.
 
Back
Top Bottom