Mpenzi wangu hajawahi kuniomba hela

Mpenzi wangu hajawahi kuniomba hela

WIZ KID

Senior Member
Joined
Apr 12, 2015
Posts
135
Reaction score
4
Jamani wakuu ninacho kisema nikweli kabisa. Mpenzi wangu hajwahi kuniomba hela tokea nimeanza uhusiano nae nina miezi sita.

Nilishawahi kumuuliza kwanini hua huniombi hela,akanijibu hajazoea kuomba hela. sasa mtu kama huyu unamuweka kwenye kundi lipi.
 
Yah wapo wa hvyo bt unatakiwa umpe serious am tellng you
 
Watu wanashindwa kutofautisha kati ya kuhonga, zawadi na kusaidia. Unapokuwa na gf na gf wako anaweza kujitosheleza kwa kila kitu yaani anaweza kumudu maisha yake peke yake then yakupasa umpe zawadi kila unapokuwa na nafasi.

Hata hivyo kwa hapa bongo wasichana wa hivyo ni wachache sana. Wasichana wengi hawawezi kumudu gharama za maisha yao. Kulipa bills mbalimbali, salon, nguo n.k. ukiwa na gf wa namna hiyo yakupasa umsaidie.

Kama unavyo saidia ndugu zako katika shida mbalimbali ndivyo hivyo pia kwa gf wako. Usipo msaaidia gf wako anayehitaji msaada then utasaidiwa na watu wengine.Mwisho ni hongo au kuhonga. Unahonga pale ambapo una mpenda demu lakini yeye hakupendi kivile...yaani she is nit that into you.

Unatumia hongo kumrubuni, kumshawishi akukubalie na hata ili kuendelea ku mkeep. Unaweza kuhonga in short run ukafanikiwa kumshawishi na akawa wako hata bila kuendelea kuhonga tena ila zawadi au msaada ukaendelea kutokana na hali yake. Lakini wakati mwingine itakulazimu kuhonga throught...uhusiano wenu na pale utakapositisha tu uhusiano unakufa.
 
Not every woman in a relationship became a begged to a man!!! Just play around her lifestyle to describe a gift she likes, there you can use your money if u want to!!
 
Vipi kwa wale madada ambao wana kazi tena za maana lakini bado wanaomba hela za matumizi???
 
Vipi kwa wale madada ambao wana kazi tena za maana lakini bado wanaomba hela za matumizi???
Kuwa na kazi haina maana wanapata hela za kutosha. Kutegemeana na lifestyle wanawake wanahitaji mkwanja mrefu ambao mara nyingi hawawezi kuupata kazini peke yake.
 
Jamani wakuu ninacho kisema nikweli kabisa. mpenz wangu hajwahi kuniomba hela tokea nimeanza uhusiano nae nina miezi sita. nilisha wahi kumuuliza kwann hua huniombi hela ,akanijibu hajazoea kuomba hela. sasa mtu kama huyu unamuweka kwenye kundi gani?


Mkuu usisubiri akuombe,sio wadada wote wanatabia ya kuomba,na kutokuomba kwake si kwamba wakati wote yuko na pesa no vile km alivokueleza hana tabia ya kuomba,usichukulie hiyo tabia yake kutokumpa pia, si pesa tu hata vingine avipendavyo.

Jiwekeee tu mpango uwe unampa kila upatapo nafasi,haitomaanisha kuwa unamhonga but it is worthy as you are a responsible man.
Amini nakueleza hakuna raha ktk mapenzi km kumjali mpenzi wako kwa zawadi mbalimbali na kuyaotea mahitaji yake.

MPE pesa,mpe zawadi usisubiri akuombe,tupo tusioomba tunaitwa independent ladies,ingawa tungependa kupewa pia.
Asante.....
 
Nimecheka sana, maana kuna Dada mmoja huko mbezi dar alikuwa akifanya hivyo kwa bf wake.

Ni binti mmoja maji ya kunde , mnene kiasi, umbo 8, kifua kimechongoka, nyuma kajaliwa, ni urefu wake ni wa wastani

Bf wake alimpa mimba kisha wakaitoa, baada ya muda bf akamwambia anamtoto kwa hiyo anaomba amsamehe ili waoane wamlee mtoto na wengine watakaojaliwa.

Binti ilimwia ngumu lkn alikubali alipokuwa akiomba ushauri alusema "yaan hata shilingi sijawahi kumwomba hata ya vocha"

Lkn huyu binti mtaan ilikua kero alikuwa anaonbaomba tu, na kwa tabia hiyo walikuwa wanampichu mno.
 
Labda anajiweza zaidi yako kwahiyo anakuhurumia wewe,au kuna mwanaume anayempa hela.
 
Jamani wakuu ninacho kisema nikweli kabisa. mpenz wangu hajwahi kuniomba hela tokea nimeanza uhusiano nae nina miezi sita. nilisha wahi kumuuliza kwann hua huniombi hela ,akanijibu hajazoea kuomba hela. sasa mtu kama huyu unamuweka kwenye kundi gani?

Kawaida sana mwingine alikaa miaka mitatu bila kuombwa hela sembuse wewe miez sita???wako kweli wasio omba hela....usishangae.......
 
Back
Top Bottom