Mpenzi wangu hafiki kileleni

Hebu nikusaidie kazi mkuu. Akifika nikupe vizuri mbinu zilizomfikisha.
 


Zama uvinza (chumvini)

Huko asiposkwit nitafute.

Mara nyingi maandalizi ya kisaikolojia na amani ya moyo humfanya mwanamke awe na utayari wa kukojozwa.

So rudi stage one uanze upya.

Kila la heri.
 
Mmmh labda ana mambo mazito yanamsumbua kichwani
Labda ana historia mbaya juu ya mapenzi
Labda hormones zake hazipo sawa
Labda haumpi hela
Labda hakupendi...
Labda...........


Sent using Jamii Forums mobile app
 

DOGO ACHA ZINAA NI DHAMBI
MRUDIE MUNGU, FANYA IBADA SANA, TUBIA/JUTIA UZINZI ULIOUFANYA, THEN FUNGA NDOA KWA MUJIBU WA IMAN YAKO.
 
Duu hii kitu hata wife anayo[emoji52][emoji52][emoji52][emoji52][emoji52][emoji52][emoji52] lkn haina noma hapa ni kutafuta mchepuko tuu.
[emoji52][emoji52][emoji52][emoji52][emoji52][emoji52]
 
Mwambie Aliraaaaaaaaaax orgasm comes when there is a lot of mind relaxation. Muulize kama anadaiwa vikoba au alibakwa enzi za nyuma.
 
Kama haloani hana hisia na ww mkuu
 
Mkuuu jibu hili hapaa sasa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mpaka umefikia hatua ya kutokujua hafiki kileleni ilikuaje.. alikwambia humfikishi!? au ilikuwaje!? ilikuwaje mpk mkaanza kumjadili ex wake kuwa ndo aliwahi mfikisha... hio relation imeanza kufifia be care!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…