Ni miezi 5 sasa tangu niwe nae na anadai ananipenda japokuwa kiuchumi siko vizuri...
Ila kila nikiwaza sehemu anayofanyia kazi (bar, club) ambayo hakukosekani wale watu ambao hela hazina kazi huwa naishiwa nguvu KABISA , japokuwa ananiambia unajua alichokifata hapo (kazi)
Nishaurini jmn....