Mpenzi wangu awena

Mpenzi wangu awena

Jospina

JF-Expert Member
Joined
Apr 19, 2013
Posts
2,421
Reaction score
1,395
Maneno matamu ulonipa chumbani/
Huku kichwa chako umelaza kifuani/
Machozi yakikutiririka mashavuni/
Kwamba hutaniacha mimi labda nitoweke dunianiiii/
Umeniacha kipindi ambacho sitaraji mpenzi/
Moyo wangu bado unalihitaji lako penzi..../

**Aaah! Kassim Mganga..... Nyimbo za hisia kama hizi hutungi tena.... Nyimbo zako zamani ziliteka hisia na kuutuliza mwili...
Hii ni moja ya Nyimbo za mapenzi/mahusiano ambazo ziliugusa Moyo wangu sana, nimemkumbuka sana AWENA wangu najua yupo humu ujumbe huu ukufikie
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom