Hivi mpenzi wangu atakuwa na nini moyoni mwake nikianza kujipodoa anaongea ongea unajipodoa unaenda wapi wakati uko hapa hapa. Hii hali inaniumiza kwasababu mimi nimeshazoea kujipodoa.
Nawewe unajipodoaje upo home? Au ww ni jini? Maana wanawake wa sku hz wengi wachafu badala ya kuwa natural unaanza kujibandika mavitu hadi appetite ya kukukata inakosekana.
Oga vizuri na ujipake baby care (mafuta ya mgando) utakuwa vizuri tu nkikuona tu mzee anagonga hodi kwa apa penye zip
Wanawake mnakera na mavipodozi yenu , mbona hampendi kuwa nachuro, kuna blak byuti flan mtaa huu siku izi anapaka poda anapauka ka mgongo wa nyani, akipaka wanja mwekundu utafikiri mchawi anaeruka mchana