Nimejiuliza swali kama lako. Huyu jamaa topiki zake karibu zote ni chai tu. Jana sijui juzi amekuja na topiki kuna demu bonge kamtembelea leo mchepuko amevaa nguo zake. Watoto wa form six wameshamaliza shule wanasubiria majibu tutakoma humu na maujinga ujinga