Mpenzi wangu anavaa nguo zangu

Kamshtaki kwa mamako junior 😂😂😂
 
Unasababishwa na nini?
Kuna fungus ambazo huwa mwanamke anaweza muambukiza mwanaume yale maji maji ya ukeni yakimgusa katika sehemu za siri.

Ila hutokea mwanamke akivaa boxer yako kunakuwa na discharge ya maji maji kutoka na kufyonzwa na boxer then wewe ukija vaa unakuwa unapata maambukizi ya kujirudia. Hadi utakapotupa hiyo boxer.

Hata ufue vipi bacteria wake hawafi.
 
By the time mchepuko unakuja mpk home unavaa hzo nguo zako muda huo wife wako yuko wap?
Matatizo km haya ni ya kujitakia
 
Hakuna nguo ya mwanaume wangu inayonitosha 😪

Zote kubwa kubwa
Mwenzangu umeolewa na Bonge??...Angalia litakuvunja mbavu hilo!! ...mazoezi unafanya??.....sasa wewe fanya hivi!!! wkt wa noninooo...... ili iwe rahisi kwako kupumua, ukibisha kuna siku atakubana pumzi utakoma!!

na hakuna mwaamuzi hapo! piga picha mko wawili usiku mnene!! tena gizani shoga angu! Mwaya loool!..tena mabonge walivo!! pumzi ikibana tu! anadhania amekufikisha kuuumbe!! wa juzi! ameua! kuwa makini.
 
ndo vizuri ili umkumbuke vizuri!
 
Labda Sijaelewa...Yaani fangasi azipate katika chupi ila akiingiza mkuyenge hazipati???Na kumbuka mhanga hatumii kondom maana tayari bidada ana mimba changa....Kwa hiyo hilo sio la kumfikirisha
 

Namna ulivyoandika unakera,umeandika kimbea mbea

Hakuna uliloandika hapo linanihusu
 
Hivi bibie we ni mtu wa congo au Burundi maana kiswahili chako kukielewa changamoto
 
Acha fiksi wewe. Majimaji ya kikeni gani yenye madhara wakati ndio hayo hayo tunachomeka dyudyu tunapiga ndani nje na kuyalamba kabisa. Hao bacteria si tungekuwa tunawapata kupitia mjegejo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…