Mpenzi wangu anavaa nguo zangu

Equation x

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2017
Posts
41,618
Reaction score
65,077
Mchepuko wangu (pisi kali), amekuwa na tabia ya kuvaa nguo zangu pale anaponitembelea. Atavaa mashati yangu yale mazuri mazuri ya draft, na kupiga nayo misele mtaa kwa mtaa.

Akiwa nyumbani, anavaa boxa zangu; mpaka zingine zimeharibika kwa kutanuka kwa ukubwa.

Nimeshindwa kumwambia chochote zaidi ya kumtazama tu.

Nikahisi labda kwa sababu anaujauzito mchanga, ndio unampa hiyo hali.

Je, ni sahihi anavyovaa nguo zangu?
 
Kama ana mimba hiyo ni hali ya kawaida sanaa kwa baadhi ya wanawake.

Wangu alichukua perfume yangu akajimilikisha(maana tulikuwa mbali kwa wakati huo).

Enjoy hiki kipindi ndugu,mfanye awe na furaha kila upatapo nafasi,hakika mtapata mtoto wenye afya njema ya mwili na roho.
All the best
 
Mchepuko gani unaoleta afya ya kiroho kwa Mtoto nakati tayari uwepo wake ni uzao wa uzinzi [emoji848]
 
Hapo anakuarifu dirisha la usajili msimu wa kwanza limeshafunguliwa
 
Kuwa makini hapo kwenye boxer. Utashangaa umetoka na muwasho wa hatari usiopona. Maana dah.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…