Mpenzi wangu ....anaumia saana tunapo .."do" | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mpenzi wangu ....anaumia saana tunapo .."do"

Discussion in 'JF Doctor' started by data, Apr 9, 2011.

 1. data

  data JF-Expert Member

  #1
  Apr 9, 2011
  Joined: Apr 9, 2011
  Messages: 16,789
  Likes Received: 6,559
  Trophy Points: 280
  Jamani ukiona m2 mzima analia mbele za watu ujue kuna jambo.... Jambo lenyewe ni hiilii..

  Nina mahusiano na GF wangu ni miaka mi nne sasa... mwanzoni nilipoanza naye tulikua twafurahia sana ku "do".... maajaabu ni kwamba kuanzia mwishoni mwaka jana analalamika anapata maumivu makali kiasi kwamba wakat mwingine nadhani anafanya makusudi....au amenichoka...huwa nakasirika...

  Namuandaa vizuri mnoooo.... mpaka napo hakikisha maji maji yamejongea nae ananiruhusu.....nianze... maajabu nnapo ingiza kichwa golini....anapoteza hamu yoote na wakati mwingine hujaribu kunisukuma na mikono yake...

  Sasa jamani amenichookaaaaa..... au ana tatizo lingine na kwa nini lianze lately...

  Wadada help me...
   
 2. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #2
  Apr 9, 2011
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,759
  Likes Received: 82,903
  Trophy Points: 280
  Nendeni mkawaone madaktari maana hii si hali ya kawaida kwa mtu aliyekuwa anafurahia tendo hilo na sasa imekuwa ni adha kubwa kwake.
   
 3. M

  Maendeleyo Member

  #3
  Apr 9, 2011
  Joined: Dec 26, 2010
  Messages: 20
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kaka hilo pepo ndo linalosababisha maumivu hayo mwambie GF akaombewe
   
 4. Ennie

  Ennie JF-Expert Member

  #4
  Apr 9, 2011
  Joined: Jan 15, 2011
  Messages: 7,145
  Likes Received: 54
  Trophy Points: 145
  Nendeni mkamuone daktari wa kina mama
   
 5. data

  data JF-Expert Member

  #5
  Apr 9, 2011
  Joined: Apr 9, 2011
  Messages: 16,789
  Likes Received: 6,559
  Trophy Points: 280
  hana mapepo.... nishauri vizuri zaid
   
 6. data

  data JF-Expert Member

  #6
  Apr 9, 2011
  Joined: Apr 9, 2011
  Messages: 16,789
  Likes Received: 6,559
  Trophy Points: 280
  hayuko tayari
   
 7. Horseshoe Arch

  Horseshoe Arch JF-Expert Member

  #7
  Apr 9, 2011
  Joined: Aug 10, 2009
  Messages: 11,230
  Likes Received: 4,951
  Trophy Points: 280
  Nendeni kwa wazazi mkaombe radhi,na wakiridhia wakupeni baraka mfunge ndoa huenda ni mizimu ya kwao inachukia matendo yenu,na hiyo miaka mitatu ilikua inakusomeni tu!
   
 8. s

  shosti JF-Expert Member

  #8
  Apr 9, 2011
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 4,949
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  wakati mwingine maji yanakuwa kwa juu juu tu lakini kwa ndani kunakuwa kukavu,hakikisha analegea mpaka analilia **** ndio uingie bwana mara nyingine huwa mnapapara sana
   
 9. FaizaFoxy

  FaizaFoxy JF-Expert Member

  #9
  Apr 9, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 58,107
  Likes Received: 22,157
  Trophy Points: 280
  Mgeuze uone na huko ata "react" vipi.
   
 10. MAMMAMIA

  MAMMAMIA JF-Expert Member

  #10
  Apr 9, 2011
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 3,822
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 0
  Mshauri tena na tena, ikiwa sababu ni kuumia kweli mwisho atakubali.
  Isijekuwa ana sababu nyengine? Zungumza naye uelewe kwa nini?

   
 11. m

  mbongopopo JF-Expert Member

  #11
  Apr 10, 2011
  Joined: Jan 24, 2008
  Messages: 1,112
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Mwambie akaangaliwe afanyiwe ultrasound inaweza ikawa anauvimbe wa aina yoyote au ana fibroids maana madada wengi nimesikia hii inasumbua.
   
 12. FiQ

  FiQ JF-Expert Member

  #12
  Apr 10, 2011
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 479
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  haaaah haaah lol ww balaa!
   
 13. Nazjaz

  Nazjaz JF-Expert Member

  #13
  Apr 10, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 5,345
  Likes Received: 1,141
  Trophy Points: 280
  Mwaka wa nne huwa ni mgumu sana kwenye mahusiano. Mkivuka salama basi mbarikiwe.
   
 14. data

  data JF-Expert Member

  #14
  Apr 10, 2011
  Joined: Apr 9, 2011
  Messages: 16,789
  Likes Received: 6,559
  Trophy Points: 280
  aiseeee...unanitisha
   
 15. data

  data JF-Expert Member

  #15
  Apr 10, 2011
  Joined: Apr 9, 2011
  Messages: 16,789
  Likes Received: 6,559
  Trophy Points: 280
  wewe ni shetani...pepo... maimuna
   
 16. data

  data JF-Expert Member

  #16
  Apr 10, 2011
  Joined: Apr 9, 2011
  Messages: 16,789
  Likes Received: 6,559
  Trophy Points: 280
  mmmhhh... au nitumie lubricants?
   
 17. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #17
  Apr 10, 2011
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,982
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Shindwa shetwani.
   
 18. mwankuga

  mwankuga JF-Expert Member

  #18
  Apr 10, 2011
  Joined: Aug 30, 2010
  Messages: 329
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 45
  Samahani ndugu zangu,wakati mwingine kama tukio halijakukuta unaweza kuchukulia poa.Mimi mwenyewe mpenzi wangu (GF) anaumia sana kama alivyosema mtoa mada.Kwa kifupi nimejitahidi sana kufanya kila niwezalo,lakini siku zinavyosonga ndivyo ambavyo anazidi kuumia zaidi.Katika utafiti wangu nimegundua kuwa wanawake wengi wanavamia na Human Papilloma Virus ambavyo kwa kiasi kikubwa inaharibu utaratibu wa vagina.Anyway mie sio mtalaam wa mambo ya akina mama,lakini kwa kuwa nami mchumba wangu anatatizo hilo,najitahidi kutafuta ufumbuzi,na nitawasilisha kwenu wadau,lakini kama kuna mtu anajua jinsi ya kutatua tatizo hilo,tunaomba msaada wenu.
   
 19. UPOPO

  UPOPO JF-Expert Member

  #19
  Apr 11, 2011
  Joined: Dec 17, 2010
  Messages: 1,371
  Likes Received: 718
  Trophy Points: 280
  Mpeleke kwa dackari bingwa wa wanawake haweze kumsaidie
   
 20. Mtoto wa Kishua

  Mtoto wa Kishua JF-Expert Member

  #20
  Apr 12, 2011
  Joined: Oct 15, 2009
  Messages: 819
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 45
  Ok before hujaenda kwa Dr, jaribu hivi, mchezee sana kama unavyo mchezea siku zote , awe ameloa, halafu chukau KY gel mpake na jipake jaribu , kama bado ana maumivu basi sio tatizo la yeye kuwa mkavu ni kuna kitu kingine, au labda ana extra long labia so unapo ingiza labda nayo inaingai ndani ina muumiza.
   
Loading...