Mpenzi wangu anaumia saana tunapo "do"

OK ni kweli kuna matatizo kama hayo huw yana tokea kwa akina dada
1 je mnaandaana kimawazo kuwa mnataka muingie kwenye lile tendo
2 je ameshawahi kuugua ugonjwa wa zinaa
3 ameshawahi kutoa uja uzito
kuna tatazo moja kwa kitaalamu linaitwa PID pelvic inflamatory disease huwa ina patikana kama mwanamke amepata any infection kwenye vaginal wall auaround the cervix dalili zake ni kuumia wakati wa tendo la ndoa na pia kutokwa damu wakati wa tendo hilo tiba yake ni antibiotics kwa wiki moja anaweza kutumia ceftriaxone injection flaggyl, ciprofloxacin and doxycline wakati wa matibabu asifanye tendo la ndowa
 
Ok before hujaenda kwa Dr, jaribu hivi, mchezee sana kama unavyo mchezea siku zote , awe ameloa, halafu chukau KY gel mpake na jipake jaribu , kama bado ana maumivu basi sio tatizo la yeye kuwa mkavu ni kuna kitu kingine, au labda ana extra long labia so unapo ingiza labda nayo inaingai ndani ina muumiza.

naomba nielimishe kwa hilo... umeniacha kidogo........ EXTRA LONG LABIA
 
Back
Top Bottom