Mbona umechagua kuishi maisha ya tabu ivyo?Hio hali inakera mno ila dawa ni moja tu...wangu Nimemuweka kwenye radar so naona kenge wote wanaorusha ulimi wakitaka kumeza yai kwa kutumia tracker app.
Nimemnunulia simu ambayo ina in-built function ya kublock numbers hata usipozisave. Ukiweka on hio feature unaziblock namba ngeni za mabazazi wote kimya kimya.
Hatapata sms wala simu za kumchombeza toka kwao tena hata akijaribu kutuma response hatoipata.
Tabu nayoiona ni kuwa kuna aina flani ya wanawake ambao si vicheche ila wako vulnerable sana coz wanakuwaga laini sana wakiibukiwa na mafisi ghafla, wanakosaga msimamo kabisa na kujikuta wanagawagawa namba ovyo.
Mkazanie aache hio tabia aweze kukaza sio kila mtu anamfungukia tu, mwishowe ataliwa!
Nataka nikioa nijue naoa kitu cha namna gani..ili hata nikiskia boss anapiga isiwe suprise.Mbona umechagua kuishi maisha ya tabu ivyo?
Anatoa mbwa vzr tu [emoji1]Huwajui wanawake dogo
Tena mpige marufuku kukusimulia make anakuchora huko anatoambwa vizuri tu
Muoe umalize mgogoro...
Hio hali inakera mno ila dawa ni moja tu...wangu Nimemuweka kwenye radar so naona kenge wote wanaorusha ulimi wakitaka kumeza yai kwa kutumia tracker app.
Nimemnunulia simu ambayo ina in-built function ya kublock numbers hata usipozisave. Ukiweka on hio feature unaziblock namba ngeni za mabazazi wote kimya kimya.
Hatapata sms wala simu za kumchombeza toka kwao tena hata akijaribu kutuma response hatoipata.
Tabu nayoiona ni kuwa kuna aina flani ya wanawake ambao ni wataratibu sana, wale wenye aibu aibu ila wako vulnerable sana coz wanakuwaga laini sana wakiibukiwa na mafisi ghafla, wanakosaga msimamo kabisa na kujikuta wanagawagawa namba ovyo.Unakuta demu mpaka anatongozwa anashindwa kukaza mwisho ataona ajaribu kukubali one day.
Mkazanie aache hio tabia ingawa sio rahisi kama ni wa type nayozungumzia apo juu, akiendelea hivyo kwa mazingira ya chuo hapo jua kuna siku ataliwa tu ingawa siombei iwe hivyo.
Mbona una mshauri hivi mkuu? unajua me nasoma post zako na kuzifuatilia mkuuMwambie awakubalie wataacha kumsumbua
Muongo huyooo usikute hata kutongozwa hatongozwi anaowakubalia na wanaomkula mbona hakwambiii na we unaona unapendwaa kumbe anakujaza
Hamna kitu kama iyo, nimemkuta bikra (degree ya pili) kama angekua wakugongwa basi nisinge mkutanayo! Usiulize nilimpataje (mbinu za kimafia zilitumika mkuu)Thubutu yako! Usiusemee moyo wa Mtu ! Wenye visu vikali ndo wala nyama @ Dogo! Eti una uhakika, hao walioana wanaolala kitanda Kimoja na kujifunika shuka moja na wanacheat sembuse huyo!
Bora uendelee kuzifuatilia unaweza jifunza kitu,mazuri yachukue mabaya niachie.Mbona una mshauri hivi mkuu? unajua me nasoma post zako na kuzifuatilia mkuu
okBora uendelee kuzifuatilia unaweza jifunza kitu,mazuri yachukue mabaya niachie.
Mwanaume mpaka akutongoze kuna mazingira ambayo anayaona kwako,ikiwa legelege utatongozwa mpaka ukome,komaa kuwa kauzu uone wangapi watakutongoza.
Hata siku moja usiseme una uhakika wa 100% na mwanamke mdogo wangu
Hamna kitu kama iyo, nimemkuta bikra (degree ya pili) kama angekua wakugongwa basi nisinge mkutanayo! Usiulize nilimpataje (mbinu za kimafia zilitumika mkuu)
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha hio siri yangu, we cheza salama tuNa mimi umeniwekea hiyo function? Maana sipati simu wala msg.
Tena demu anaona KIKI akisemeshwa, sidhani kama anatongozwa kila mara, waweza kuta anasalimiwa, anakaribishwa soda au msosi nk. Yaani kuonyeshwa ukarimu, yeye kweye akili yake anatongozwa?! Zuzu kabisa...Acha atongozwe maana amejiweka katika mazingira ya kutongozwa. Mwanaume usipompa chance atakutongozaje?