makolola
JF-Expert Member
- Sep 15, 2014
- 765
- 290
Wadau ,mimi ni kidume nina mpenzi wangu anasema yeye anapenda nifuge rasta bila hivyo hata jihisi vizuri maana alishawahi kuwa na boyfriend kabla ambaye alikuwa mfuga rasta baadae wakamwagana mazima, akaumia sana sasa anasema mimi ndio nimeponya majeraha yake ya moyoni nifuge rasta ili furaha yake yote ya moyoni irudi.
Sasa mziki unakuja kwenye ukoo wetu,heshima niliyonayo kwa ndugu na marafiki,ninavyofahamika kanisani na kazini ninakofanya kazi,leo wanione nafuga rasta sijui watanioneja?maana mi sizifeel kabisa kuwa kama ni urembo na ninaona nitaonekana kituko. au wadau mnanishaurije?