Mpenzi wangu anataka ndoa haraka

Mpenzi wangu anataka ndoa haraka

Mimi sio mwandishi mzuri lakini naomba niende moja kwa moja kwa mada husika, dhumuni, naomba ushauri kwenu wakuu nin cha kufanya.

Mim nina umri wa miaka 24 (male) nimeanza kazi mwaka huu mwezi wa 7 katika zahanati (private sector).
Then mwezi uliopita mwishoni ndio nilianza mahusiano rasmi na mpenz wangu ambae nilionana nae miaka 8 iliyopita yeye kwa sasa anamiaka 21. Kazi anayofanya ni hotel magemenent, according to professional yake.
Tupo mikoa tofauti mm kanda ya ziwa huku mashariki, yeye yupo mikoa ya kaskazini.
Alikuja nilipo first lakini sijamtambulisha bado kwa wazazi, lakini mm nilipo kwenda kwao alinitambulisha kwa wazazi wake.
Fo sure she is sexual activite. Just why anadai sana maisha ya peke yake hayataki, na pia anaheshima nani mwanamke anaependa kusema kweli muda wote.
Kwa upande wangu mm ni mtu wa kiroho sana, nimekwisha acha kila tabia za kidunia ili tu niyafikie malengo yangu, sipo interested na tabia ya kubadili wanawake kwani mm niwa kiroho zaidi.

Kwa sasa tupo kwenye mzozo kuwa nitakamirisha lini process za kumuowa, na tuishi nyumba moja na huku mm hatua nilio fikia nina kitanda na godolo peke yake, na anataka endapo atakua mkoa ambao mm nipo anataka nimtafutie na shuguli ambayo yeye atakua anafanya.
Kanipa majukumu hayo yote huku pia akidai mm kukaa mbali na yeye ni tatizo kwani anakumbana na vishawishi vingi, nilijarbu kumueleza kuwa anipe miezi 6 ili nikamilishe maswala hayo yote lakini hataki na anadai kuwa miezi 6 ni mingi na malengo yetu itakua ngumu kutimia.

Naomba ushauri wenu nifanye nn na kwa sasa kazi za private zote masilahi ni madogo pande zote mbili, na pia familia zetu si familia tajiri, zote zinapambana na kusomesha watoto.

Kwa upande wangu mm pia nampenda san na sitaki kumpoteza, naweza kutafuta mwanamke mwingine lakini nahofia sita pata atakae nifaa zaidi yake kwan naelewa kiundani umuhimu wake na upekee wake.
Pia najua yeye pia ananipenda, lakini naona swala la pesa linataka kuwa kikwazo kwetu, na yeye anashindwa kuwa mvumilivu.
Ushauri wenu wakuu, kama kuna lingine la kueleza kuhusu mm na yeye nitaendelea kuelezea...
huyo ni mshenzi mmoja tuu mkuu anasema vishawishi ni vingi atakuwa anatoa huko kwa wana kaa kwa machale...kitu cha kufikiria wewe umeanza kazi miezi sita hujui hatma yako ni nini jijenge kwanza wewe na nyumbani kwenu ndo uanza kufikiria maswala ya kuoa kazi hizi za private sector huwa zinaisha sasa utaishi vipi na hukuwa na malimikizo yoyote ....kaa tulia kama jpange wee bado mdogo kuwa katika maamuzi magumu na maubwa kiasi hiko...mtu anakuona ndo kwanza umeanza kazi ''umeshaseam suala la pesa ni kikwazo'' ndugu siku ukikwama akija mwenye pesa utaandika maumivu hapo tayari ushajikamua kwa muda wa miaka miwili huna maendeleo yoyote pesa yote umemalizia kwake usikute hata mama yako hujawahi hata kumtumia pesa hata ya maziwa...wanawake wako wengi...halafu pia umesema wewe ni mtu wa rohoni angalia mzee wanawake wa siku hizi haataki watu wa namna yako kua macho na wewe mtafute wa rohoni
 
Ngoja nifanye kutizama yeye atavumilia hadi wapi,
But kama ni uhuni nimefanya sana hadi kuvaa kondom mlegezo, msemo wa Stamina

Hadi sasa nimeokoka nimeona mengi sana.

Nimekuelewa mkuu, ushauri wako.

[/QUO
kula maisha mkuu ndoa isikie tuu..wanawake wanaingia wakati mwingime kwa fashion tofauti na mwanaume wao anafurhi tuu kuona kavaa pete, shela na kuitwa mrs fulani ndo maana anakuharakisha hivo
 
Kijana usikimbilie kuoa kwa pressure kutoka upande fulani tambua ndoa ni taasisi inayojitegemea kaa chini jipange mwambie avumilie kama inakuwa ngumu mwache vishawishi vimchukue
 
Mimi napenda kuuliza umri sahihi wa kijana wa kiume kuingia kwenye ndoa Ni upi??
 
Amka usingizini na usilale tena hata usiku utapokwisha, kuna mtego unataka upigwe dabo dabo uingizwe kingi kabla akili haijakurudi.... eti mmeanza rasmi mwezi uliopita tu leo unapelekeshwa kama nyumbu.
 
Hilo nalo neno kweli.[emoji848]
Amka usingizini na usilale tena hata usiku utapokwisha, kuna mtego unataka upigwe dabo dabo uingizwe kingi kabla akili haijakurudi.... eti mmeanza rasmi mwezi uliopita tu leo unapelekeshwa kama nyumbu.
 
[emoji120]
Kwanza, hongera kijana kwa kujielewa!

Pili, ninachoweza kukushauri tu.... Utafute nafasi, uende kwa huyo mkwe wangu, then muongee physically. Hapo wewe mueleweshe tu kwa upendo, juu ya nini mnatakiwa mkifanye hivi sasa kwenye maisha yenu, so as mfikie malengo hayo ya kuingia kwenye taasisi.

Ila in case ukiona bado akuelewi, hapo no way just fikieni tu maamuzi ya kuwa pamoja. As long as mmeridhiana and at the same time umebarikiwa kupata hiko kidogo....no mbaya mpaka hapo, take risks kijana!

And binafsi sioni kama mwenzio, anaweza kuwa headache kwako...bali ninachokiona ni utapata blesses from her. Tena nawe, ujitaidi tu usimuache awe mama wa nyumbani.....just fight for her destination.

Kila la kheri kijana.
 
Akitoa lawama anakuwwa hajui maisha huyo,ndio unamrudisha kwao ili ujipange,wakati huo ana kitumbo au umeshamzalisha kabisa.atanyooka tu wala asikubabaishe.
Ni kweli mkuu, shida ni pale atakapokua anatoa lawama za ndani ya nyumba, nitajificha wap mm...[emoji24][emoji24][emoji24]
 
Tatizo huruma wengine zipo juu...
Akitoa lawama anakuwwa hajui maisha huyo,ndio unamrudisha kwao ili ujipange,wakati huo ana kitumbo au umeshamzalisha kabisa.atanyooka tu wala asikubabaishe.
 
Kwenye huu mwezi lazima nifanye maamuzi, sina namna lazima.
Fear is sickness!!
Peleka barua na kishika uchumba,ili akiondoka huko wazee wajue yuko wapi ,mahari na ndoa ije baadae ( mungu hapendi ).
Kuhusu hali ngumu.... ndio vizuri muanzie hali ngumu ,hii hutengeneza bond yenye nguvu sana kwa wapendanao.hata hapo mtakapofanikiwa ina jenga heshima sana.mchukue hivyo hivyo aje alale njaa kidogo ataelewa ulikuwa unamaanisha nini ulipokuwa unamwambia asubiri ujipange.
 
Back
Top Bottom