Kidume cha mbegu
JF-Expert Member
- Jun 14, 2015
- 1,251
- 710
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]Huwa humnunulii nyama hasa nyama choma so anafikisha ujumbe kwa hisia mno
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Huwa humnunulii nyama hasa nyama choma so anafikisha ujumbe kwa hisia mno
Ndo wew nini maana avatar inahitaji nyama[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Bila shaka unapata manyama yakutosha ndo maana hunisumbui kutafuna so mimi ni husband material![emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]
Yaan nakula mpk zinanikinai kiukwelBila shaka unapata manyama yakutosha ndo maana hunisumbui kutafuna so mimi ni husband material!
haya kesho jiandae nakuja kupanda mbegu!Yaan nakula mpk zinanikinai kiukwel
haya kesho jiandae nakuja kupanda mbegu!Yaan nakula mpk zinanikinai kiukwel
Mtilie kidole mdomoniNatumaini ni wazima,
Nina mpenzi wangu ni mzuri tuu ila usiku ndiyo ananiogopesha sana. Kuna siku aliomba kuja kulala kwangu mie nikamkubali ila cha kushangaza usiku wa manane nikashituka nikakuta anatafuna meno. Yaani kama kuna vitu anatafuna hivi na meno yanakuwa yanakuwa yanatoa sauti tu.
Sasa nilikuwa naomba mwenye tiba au mwenye kujua njia ya kuyazuia au kuzuia hii tabia maana hadi saizi naogopa sana kulala naye tena na nilitest mara tatu nikagundua ndivyo alivyo.
Msaada tafadhali
Karibu sana hakikish mbegu unayotak kupanda iwe imekomaahaya kesho jiandae nakuja kupanda mbegu!