Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 42,139
- 101,505
Mwenyekiti ushalewa penzi nakuona toka jana husimamii misimamo ya chama!!Haha haaaa kiwanja changu ajenge mwanaume ambaye sijafunga nae ndoa?sio kweli,Hilo ni kosa la kiufundi bahariaš¤¦š¤¦
Hivi ndoa hapo inahusikaje na ikiwa huduma zote za ndoa bidada anatoa?
Tutapiga kula za kutokuwa na imani na wewe š¤£š¤£š¤£ kazi imeanza kukushinda