47pro
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 1,204
- 333
Guys, Hola!
Nimekuwa nikijua sigara sasa ni mwaka wa saba , mara ya kwanza nilikuwa navuta kwa kujifurahisha (smoking for fun),lakini sasa nimebobea kabisa.
Nilijiunga na chuo kikuu cha Dar Es Salaam, kama kawaida, kuvuta sigara was part of my campus life hivi, sasa kuna huyu dada alinizimikia, na kudai ananipenda kisa anajiskia vizuri akiniona navuta sigara, imefika mahali, bajeti ya sigara ikawa imehamia kwake, amekuwa akininunulia pakti ya sigara kila siku!
Na kila tukikutana, ananiambia nivute sigara, alafu nim-kiss, guys ikafika time nikamwambia nimfundishe kuvuta fegi, ila amekataa, na imekua kawaida yeye kuninunulia sigara, ila kuna kipindi nlikua nimepanga kuacha sigara, huyo msichana alilia siku nzima.
Nisaidieni jamani, ana mimba yangu kasema nikiacha sigara, ataitoa hiyo mimba!
Nisaidieni jamani, sigara si nzuri kiafya, ila ndo huyu msichana na vitisho vyake.
©welcome to next academic year 2015 /2016