Mpenzi wangu ananitishia

Wewe ungemuuliza my wife wako kama ni Mara yake ya kwanza kutongozwa tangu mfunge ndoa. Akijibu si Mara ya kwanza, ujue huyu amekuambia habari zake kwakuwa hamtaki.
 
maanake unaziba milango kabla hawajakufikia ..kuna jamaaa alienda kwa mganga amloge mtu flan kufika kule akaambiwa alishakufa mbona ...wakat yupo mzima tuuu okay
haya bwana kumbe wewe ni mtaalam sana wa
 
Ndio maana mm ktk vitu ambavyo siwez kujihusisha navyo ni mke wa mtu.
Ukitembea na mke wa mtu kufa ni gusa tu.
Achana naye. Akizid kumsumbua ww tumia sumu tu si anajua kuwa mke wa mtu ni sumu halaf yy bado kakomaa.
Bro mweshee tu sumu atajua huko huko si huw wanajidanganya wana maziwa tuone km maziwa yatamsaidia. Ww uhudumie halaf jinga limoja lile bure bure. Kwan wanawake wameisha mpaka utembee na wanawake za watu?
 
Wewe ungemuuliza my wife wako kama ni Mara yake ya kwanza kutongozwa tangu mfunge ndoa. Akijibu si Mara ya kwanza, ujue huyu amekuambia habari zake kwakuwa hamtaki.
kutongozwa kwa mwanamke kawaida
 
samahan mkuu kuna jamaa kanichukulia dem sa hv yuko UK vp uchawi wenu unaweza fika huko tumfanyie mambo?
 
samahan mkuu kuna jamaa kanichukulia dem sa hv yuko UK vp uchawi wenu unaweza fika huko tumfanyie mambo?
unafika ilimrad unajua majina yote matatu ama mawili
 
Kati ya Mungu na Uchawi yupi kimbilio lako kwa kuonewa kwako?
 
Mtafute huyo jamaa uonane naye,na umwambie hayo!,acha uoga mkuu...na hatarudia ujinga wake,ukizubaa tu,ataku...tombea kweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…