Mpenzi wangu ananitishia kutoa mimba

Mpenzi wangu ananitishia kutoa mimba

pumbavu.....kwanini unafanya zinaa....?????
 
Cha kufanya nenda kwa wazazi wake ujitambulishe na mseme ukweli umempa mimba, toa hata mahari kidogo. Halafu uwaambie unajipanga kumuoa aendelee kukaa kwanza kwao. Msitoe mimba, ni laana ya kupunguziwa maisha ya kuishi. Mungu awarehemu na mmche.
 
Poa poa rafiki.
 
kheeee aibu ya kumbinjua binjua .. kujipanua panua hakuona .. ila mtoto ni aibu .. tena mwambie akifanya mchezo huyo mtoto atamchukia mpaka kifo kitakapo muita ..... kutoa mimba si sawa na kuwa na mimba siyo ticket ya kuolewa au kulazimishana ndoa ... ila we unamjua kuliko sisi mshawishi kadri uwezavyo asitoe mimba ili akitoa damu ile isiwe juu yako
 
Na ndicho ninachokifanya
 
Back
Top Bottom