youngsharo
JF-Expert Member
- Jan 8, 2015
- 2,491
- 500
Habarini wanajamvi,
Nina msichana mmoja ambaye nilianzisha nae uhusiano toka mda tu, na tukaaminiana sana mpaka tukafikia hatua ya kuahidiana kuoana [kufunga ndoa], na kiukweli tulipendana na kutokana na uchumba wa mda mrefu tukaridhiana kulishana lile tunda la mti wa katikati ya bustani, tulinogewa na tukafanya zoezi hili kwa zaidi ya mara 5 na kusema kweli tulijiachia na kujisahau kama bado hatujafunga ndoa, katika siku mbili za mwisho za zoezi hili hatukujikinga.
kabla siku hazijaenda mbali msichana huyu alianza kujihisi na ndipo alipoenda kupima amegundulika tayari mimba imeshaingia.
tatizo linakuja pale ambapo ameniambia kuwa kupata mimba kabla hajaolewa yeye ni aibu kwa familia yake, la sivyo nifanye mpango nimuoe ndani ya mwezi huu kabla wazazi wake hawajagundua kama ana mimba au kama sitaki kumuoa kwa sasa ataitoa mimba hiyo, mimi sitaki aitoe mimba kwani ni dhambi na laana kubwa kutoa kiumbe na nikiangalia mimi sijajipanga kwa sasa kuweka mtu ndani je nifanyeje?